mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
waendelee kujidanganya.
Duniani ndio mwisho wa KUISHI.
hakuna sayari itakayosapoti maisha zaidi ya dunia.
Duniani ndio mwisho wa KUISHI.
hakuna sayari itakayosapoti maisha zaidi ya dunia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii time travel effect yake utaiona upale utapocompare na kinachoendelea kule ulipotoka na si huko uendako, kule unapoenda wao hawaez experience chochote kile ambacho umekiexperience ukilinganisha na kule ulikotokaKitu ninachoweza kukubaliana na wewe kwenye hili swala labda kama uta travel kwenda future basi iwe ni wewe ndo umetangulia kwa mfano uwe na uwezo wa kutoka hapa tz kwenda marekani kwa hiyo spidi ya mwanga kama ulishaangalia series ya flash basi ndo hicho kitu namaanisha lakini sio kwamba utatoka hapa ufike mwaka 2050 ukute jamii nyingine yenye maendeleo tofauti na iliyoyasasa.
labda complex life mkuu but others like microbes watakuwepo tu mkuu, human life may be, lkn inafikirisha kdg km kuna mabilioni ya sayari huko space why complex life iwe dunian tu while kuna sayari zngine huko mbali zenye size sawa na yetu zipo?waendelee kujidanganya.
Duniani ndio mwisho wa KUISHI.
hakuna sayari itakayosapoti maisha zaidi ya dunia.
Kwani sisi ndo tulipanga tukae duniani au tumewekwa?labda complex life mkuu but others like microbes watakuwepo tu mkuu, human life may be, lkn inafikirisha kdg km kuna mabilioni ya sayari huko space why complex life iwe dunian tu while kuna sayari zngine huko mbali zenye size sawa na yetu zipo?
imetokea tu by chance dunia yetu ikawa na mazingira ambayo sayari nyingine yalimiss so ikawezekana kwa complex life kutokea hio ni kisayansi ila kiimani uko nako kuna stori yake ambayo wote tunafahamuKwani sisi ndo tulipanga tukae duniani au tumewekwa?
Na mungu mwenyewe ameshakataa kuwa hakuna uhai sehemu yeyote zaidi ya hapa duniani.imetokea tu by chance dunia yetu ikawa na mazingira ambayo sayari nyingine yalimiss so ikawezekana kwa complex life kutokea hio ni kisayansi ila kiimani uko nako kuna stori yake ambayo wote tunafahamu
acha mambo yako weka maandiko tujiridhisheNa mungu mwenyewe ameshakataa kuwa hakuna uhai sehemu yeyote zaidi ya hapa duniani.
Mungu yupi?Na mungu mwenyewe ameshakataa kuwa hakuna uhai sehemu yeyote zaidi ya hapa duniani.
Aliyetuweka hapa dunianiMungu yupi?
Sio kila mtu anaamini hivyoAliyetuweka hapa duniani
55:30Mungu yupi?
Sasa unadhani BINADAMU na viumbe vyote tuliopo ardhini na mbinguni na baharini na mito na maziwa tupo duniani kwa bahati mbaya?Sio kila mtu anaamini hivyo
siku utakaposkia elon musk mwenyewe amezima watu wako kwenye taratibu za mazishi utashangaa zaidi...hizo after life ni porojo tu watu wenye akili zao wanafanya tafiti za kufa mtu Ili kuweza pandikiza seli kwenye miili ya watu Ili wawe immortal wewe unazungumzia kufa?
Hiyo ya kufa huko future itaenda kua masimulizi kwamba Kuna watu walikua wanakufa
Hahhahaa ni kama masikhara ila yajayo yanafurahisha!
Kwamba Elon Musk ni mkinga au mchaga akifa na project zake zinakufa?siku utakaposkia elon musk mwenyewe amezima watu wako kwenye taratibu za mazishi utashangaa zaidi...
nimemaanisha ulivyosema wanaproject za kupandikiza cell kwenye miili ya watu ili wawe immortal..Kwamba Elon Musk ni mkinga au mchaga akifa na project zake zinakufa?
Acha vituko basi Mwanasayansi Nikola Tesla alitoa idea na vumbuzi nyingi akaziacha kwenye makaratasi Leo Musk ndio anazifanyia kazi Kwa vitendo zaidi,
Hayo ya mwenye Mali kufa na biashara au urithi kufa nae ipo huku Dunia ya tatu tu Huko mbele hata haiwashtui boss kufa kampuni itabaki vile vile Miaka 💯
jamaa hajiangalii yeye anafanya vitu Ili angalau vizazi vya baadae vifikie Hiyo hatua,yeye anaanzisha njia tu atakapoishia na wengine wataendeleza Kumbuka wenzetu wanafanya vitu for future sio kama sisi huku wanyaturu na wamatumbi na umimi wetu!nimemaanisha ulivyosema wanaproject za kupandikiza cell kwenye miili ya watu ili wawe immortal..
mkuu hiyo ni impossible halafu usidhani eti sisi ndio tumefikia kilele cha teknolojia dhidi ya wenzetu waliotangulia kisa tuna smartphone mambo hayako hivyo mkuu wangu, wamepita wanaume huko nyuma na teknolojia ilikuwa katika kiwango cha juu kabisa na haikuwafanya waishi milele..jamaa hajiangalii yeye anafanya vitu Ili angalau vizazi vya baadae vifikie Hiyo hatua,yeye anaanzisha njia tu atakapoishia na wengine wataendeleza Kumbuka wenzetu wanafanya vitu for future sio kama sisi huku wanyaturu na wamatumbi na umimi wetu!