Jinsi Project ya Mbingu mpya na Nchi mpya itakavyotengenezwa na itakavyofanikiwa

Jinsi Project ya Mbingu mpya na Nchi mpya itakavyotengenezwa na itakavyofanikiwa

hizo after life ni porojo tu watu wenye akili zao wanafanya tafiti za kufa mtu Ili kuweza pandikiza seli kwenye miili ya watu Ili wawe immortal wewe unazungumzia kufa?

Hiyo ya kufa huko future itaenda kua masimulizi kwamba Kuna watu walikua wanakufa

Hahhahaa ni kama masikhara ila yajayo yanafurahisha!
Nadhani hili haliwezi kutokea,sifa ya kiumbe hai ni kufa!!
 
Nadhani hili haliwezi kutokea,sifa ya kiumbe hai ni kufa!!
jellfish ni kiumbe mfu?
acha uzushi kuna baadhi ya viumbe ni immortal mkuu sayansi ya hayo mambo ipo ila
kuifikia bado sana hakuna linaloshindikana tutakapofikia level za kuhifadhi vinasaba!
 
That is why you call yourself Dumas the terrible.Why terrible,naamini unachinja,unaiba na kuharibu kama baba yako Ibilisi.Yohana alisema vema kuhusu ninyi,alisema,

Yohana 8:44,
44 Ninyi ni wa baba yenu Ibilisi, na tamaa za baba yenu ndizo mpendazo kuzitenda. Yeye alikuwa mwuaji tangu mwanzo; wala hakusimama katika kweli, kwa kuwa hamna hiyo kweli ndani yake. Asemapo uongo, husema yaliyo yake mwenyewe; kwa sababu yeye ni mwongo, na baba wa huo.
sina dingi anayeitwa Shetani broo,hata sina connection na yeyote kati yao
unacho ongelea sijakijua bado ufafanuzi please!
 
jellfish ni kiumbe mfu?
acha uzushi kuna baadhi ya viumbe ni immortal mkuu sayansi ya hayo mambo ipo ila
kuifikia bado sana hakuna linaloshindikana tutakapofikia level za kuhifadhi vinasaba!

jellfish ni kiumbe mfu?
acha uzushi kuna baadhi ya viumbe ni immortal mkuu sayansi ya hayo mambo ipo ila
kuifikia bado sana hakuna linaloshindikana tutakapofikia level za kuhifadhi vinasaba!
Kwamba huyo jelly fish hafi?
 
ulisikia wapi jelly fish kafa never!
Jellyfish have no brain, heart, bones or eyes. They are made up of a smooth, bag-like body and tentacles armed with tiny, stinging cells. These incredible invertebrates use their stinging tentacles to stun or paralyse prey before gobbling it up. The jellyfish's mouth is found in the centre of its body.
1686463550185.jpeg

National Geographic Kids › sea-life

Jellyfish Facts! - National Geographic Kids

Ujue binadamu akifika level ya kutokufa ujue tutakuwa hatuna ubongo,moyo,mifupa Wala macho,jiulize Dunia itakuaje🤣🤣🤣
 
Mzuka wanajamvi wa JT na great thinkers natumaini mpo powa na tunaendelea kusurvive chini ya jua,
Husika na kichwa habari hapo juu,
Kwanza nipende kutoa onyo na tahadhari Kwa kundi Fulani Hivi la brain washed wakae Mbali na hii thread sababu itakua nje ya uwezo wao,ili tujadili mahaba ya Dini tuweke pembeni tuwe free kujadili mambo magumu na yenye ukweli mchungu ambao raia wengi hawaupendi
Ila Haina namna!
Nitaagusia kifupi sana hasa Kwa wavivu kusoma!

1.MBINGU MPYA
Wakuu Binadamu na watu wa Civilization hii wanapiga hatua kubwa kimaendeleo sayansi na teknolojia tunaona projects nyingi zinavumbuliwa Kila kukicha yaani tunaenda spidi ya kimbunga kwenye gunduzi kiasi kwamba tumefika level za kuprint watu,
Hapa namaanisha watoto wanafyatuliwa maabara nk,
Sasa Kuna hii project ya kufanya majaribio kwenye sayari ya Mars na kinara wa hiyo kazi ni ndugu Elon Musk na kampuni yake ya space x na tunaona jinsi inavyofanikiwa kwa Kasi ni kama ndoto za alinacha ila ndio hivyo inaenda kua kweli,
Baada ya hapo huko yataenda kujengwa makazi ya kisasa na raia grade one wataanza ishi huko na kuibadilisha sayari ya vumbi jekundu na miamba kua paradise,
Imagine jinsi lile jangwa la Dubai Miaka 20 iliyopita lilivyogeuzwa Jiji kubwa na lenye madhari ya kuvutia kiasi kwamba Leo mlugaluga akifika pale na kumwambia hapa palikua jangwa na eneo baya lisilifaa binadamu mwenye akili timamu kuweka makazi ataeweza akuzibue konzi Kwa ujuha wako unaomwambia maana aonacho ni maghorofa makubwa na mabustani mazuri ya kuvutia.

Sasa basi baada ya raia wa grade one kuhamishia makazi sayari ya Mars na
Kujenga mithili ya masimulizi ya Mbingu watu wa grade la chini Kama sisi huku Afrika tutaenda kutengeneza Hadith ya Mbingu mpya maana tutakua hatuna uwezo wa kufika huko sehemu yenye ustaarabu mkubwa na maisha ya Raha za ajabu pasipo dhiki maana huko Kila kitu kitaendeshwa Kwa ujuzi wa Hali ya juu kutokana na kukua Kwa science and technology Kwa kiwango Juu Cha mno!

Dunia itabaki sehemu ya mkakati maalumu na watakao Baki wale useless hakuna kitu watafanya zaidi ya kuleta shida kubwa na kuanza kufanya maasi wao Kwa wao na hakuna mtu atajali kuhusu hizo vurugu maana Kila kitu kitajiendea hovyo kutakua hakuna uongozi wa kidunia Kama ilivyo Leo UN na mataifa ya kuiongoza Dunia Ili ikalike hapo Kila mjuaji atafanya ajuavyo na Dunia itaharibika kabisa kwa uharibifu mkuu,
Ila kuna maeneo ya kimkakati yatatunzwa vizuri for future use
Baada ya yote hayo itapendekezwa raia wa Duniani wapunguzwe kabisa Kwa mbinu mbadala wabaki guardian wa kuitunza dunia na nature yake na itakua baadae salama na ni sehemu ya kutalii tu Tena Kwa gharama kubwa watu wakitoka mars huko wataona wamechoshwa na kuishi kwenye miji ya ajabu ya huko angani wakivutiwa na hali ya duniani.

2.NCHI MPYA
Baada ya sayari ya mars na wakazi wake kuchoshwa kuishi kwenye artificial Planet watatamani Sasa warudi kuishi duniani baada ya miaka mingi kupita,vuguvugu za Exodus zitaanza na wanaharakatj wengi watajitokeza kupigania kuirudia nchi mpya ya mababu zao na hapo utaandaliwa mpango maalumu wa kurejea wenye masharti magumu maana Dunia itakua Tena Kama bustani nzuri Sana na ya kuvutia na watakao kurudi watatakiwa kukidhi vigezo maalumu maana ni sehemu yenye uasili na Kwa gharama kubwa watakao kidhi vigezo watarudi na kuishi kwenye Asili Yao Kwa Raha Sana maana Dunia itakua pepo milele na hakuna shida Tena Kwa sababu watakua wamefanikiwa kubalance nature.

Yajayo yanafurahisha hii Dunia watu wanakaa Wana program namna ya kuiendesha ila sababu sisi huku tunakula makande na kuwaza ngono
Haya mambo yanakua Kama masimulizi ya Alfu lela ulela,
Ila sishangai maana ukirudi miaka 1500's na umwambie Vasco da Gama kwamba kutoka Portugal to India tunatumia masaa tu kufika anaweza kukushut Kwa revolver yake Kwa porojo zako ila uhalisia tunaujua!
Tuwe tayari Kwa mabadiliko muda wowote Dunia inaenda Kasi Sana!

The Terrible!
Afya ya akili ni shida
 
Jellyfish have no brain, heart, bones or eyes. They are made up of a smooth, bag-like body and tentacles armed with tiny, stinging cells. These incredible invertebrates use their stinging tentacles to stun or paralyse prey before gobbling it up. The jellyfish's mouth is found in the centre of its body.
View attachment 2653423
National Geographic Kids › sea-life

Jellyfish Facts! - National Geographic Kids

Ujue binadamu akifika level ya kutokufa ujue tutakuwa hatuna ubongo,moyo,mifupa Wala macho,jiulize Dunia itakuaje🤣🤣🤣
hii inaitwa immortality watu wa kale hasa accient civilization waliita uungu ila ni sayansi iliyozidi uwezo wa kawaida,wanadai kuna power inaweza kukufanya ukafika hizo level .
 
hii inaitwa immortality watu wa kale hasa accient civilization waliita uungu ila ni sayansi iliyozidi uwezo wa kawaida,wanadai kuna power inaweza kukufanya ukafika hizo level .
Level ya kutokuona,kutokuwa na ubongo?!!
Lakini nakubaliana nawewe,Watanzania tushafikia hiyo level ,hasa watanganyika.
 
Una kichaa dogo

Wahi Mirembe
kwahiyo kwa upeo wako unajiona master sana?
kitu kingine ukiona kuna nyuzi huelewi pita hivi
huja lazimishwa kusoma uzi wa kichaa kua mature punguza makasiriko na ujuaji
humu wapo vichaa wenzangu tunaelewana,
kingine ukiona jambo hulielewi ujue halikuhusu
kaa kwa kutulia shabaaaaaash!
 
Kaka huduma za afya ya akili bure
 
Back
Top Bottom