Jinsi Putin alivyoibadilisha Urusi kuwa na nguvu ya kibabe ulimwenguni

Mapopama yaliyokunywa uyahudi ni kila jambo likifanyika sehem yenyew hujua ni israil kafanya
 
Russia ya sasa imerithi nguvu za kijeshi na silaha kwa kiasi kikubwa kutoka iliyokuwa Umoja wa Kisovieti (USSR). Ambayo ilikuwa na muunganiko wa mataifa mengine mengi kama Ukraine, Lithuania, Estonia, Belarus n.k.

USSR ilikuwa ni taifa lenye nguvu sana kijeshi na hata kiuchumi. Ilikuwa ni nchi ya pili kiuchumi duniani baada ya Marekani kabla ya mgogoro wa ndani na hatimaye kuvunjika kwa umoja huo miaka ya 80 mwishoni na miaka ya 90 mwanzoni.

Hapo kabla, USSR iliweza kufanya vumbuzi nyingi kwenye masuala ya teknolojia, hususani masuala ya anga za mbali, na katika masuala ya kivita.

Miongoni mwa vumbuzi zao wakati wa uwepo wa USSR:

1) Mfumo wa uongozaji (navigation) wa GLONASS

2) Satellites na roketi (Sputnik 1, Soyuz)

3) Bunduki maarufu sana duniani ya Kalashnikov (AK-47)

4) Ndege za kivita za MIG (Mikoyan na Gurevich)

Na kadhalika!

Urusi ya sasa yaweza kuwa tishio kijeshi lakini si katika masuala ya uchumi tofauti na ilivyokuwa USSR. Uchumi wa Urusi sasa hivi hauna utofauti sana na jimbo moja tu la nchi kama Marekani. Mfano, Texas.
 
Marekani siyo wajamaa, kwanini wanaongoza kwa kuwekeza kwenye silaha?
Ukiangali kwa percentage ya gdp ni ndogo, tofauti na russia ukiangalia ela anayotumia kwenye silaha na percentage ya gdp ni kubwa

Na marekani ana balance kipato Cha marekani mmoja ni kikubwa maradufu ya nchi kama Russia, nchi za kijamaa kama korea kaskazin vipato vya wananchi wao ni vidogo lakin nchi iko bize na nyuklia
 
Dah! Mchango wa kitaalam sana huu.
Hii nchi kumbe Ina hazina ya watu wenye uelewa mkubwa.kama wewe.
 
Ulishafika pongyang ukakuta wanakufa na njaa?
 
Aisee!
 
Putin hakuibadilisha Russia lakin ameikuta hivyo na nguvu zake, tangu enzi za Stalin mpaka Khrushchev alipotaka kuzipiga na USA enzi za Kennedy (soma Cuban missile crisis).
Amna mkuu.. Russia ili dicline after collapse of USSR .....

TOFAUTISHA. KATI YA USSR na RUSSIA
 
Putin hakuibadilisha Russia lakin ameikuta hivyo na nguvu zake, tangu enzi za Stalin mpaka Khrushchev alipotaka kuzipiga na USA enzi za Kennedy (soma Cuban missile crisis).
Amna mkuu.. Russia ili dicline after collapse of USSR .....

TOFAUTISHA. KATI YA USSR na RUSSIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…