Jinsi Rayvanny na Paula walivyoisimamisha nchi

Jinsi Rayvanny na Paula walivyoisimamisha nchi

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
Ni post moja tu ya Rayvanny kwenye page yake ya IG ilitosha kuisimamisha nchi.

Sasa mambo hadharani Rayvanny na Paula ni kama Bonnie and Clyde.

Wapendanao wa kitaifa wameweka kila kitu hadharani ikiwa ni masaa machache tu yamepita tangu Paula amesaini dili NONO la kutangaza nywele.
IMG_20210715_021220.jpg
 
Wamependezea Sana!!!
Sifa za Harmonize;-👇👇
Ametoswa na Linah akatukanana na Maimartha wa Jesse, haziivi na Kajala, Sarah hataki hata kumuona Wolper kaamua azalishwe na Ching's
Njomba nchumali sifa nyingi mno.
Alivokua wasafi alikua mtu poa na sifa za kawaida tu alivotoka mamamamaa sifa kama zote kila dem anamtaka yeye. Konde boi bna 😁
 
Ni post moja tu ya Rayvanny kwenye page yake ya IG ilitosha kuisimamisha nchi.

Sasa mambo hadharani Rayvanny na Paula ni kama Bonnie and Clyde.

Wapendanao wa kitaifa wameweka kila kitu hadharani ikiwa ni masaa machache tu yamepita tangu Paula amesaini dili NONO la kutangaza nywele.
Kusimamishaje?

Sema ilitusimamisha vijana mashoga wa sinza machawa
 
Back
Top Bottom