Jinsi Rayvanny na Paula walivyoisimamisha nchi

Jinsi Rayvanny na Paula walivyoisimamisha nchi

Ni mwanaume ndiyo.
Rangi nazijua ni Nyeupe, nyekundu, nyeusi na njano.. Bluu na kijani natambua uwepo wake japo hushindwa kutofautisha ipi ni Bluu ipi ni kijani.
Sasa hiyo kwenye picha sio nyekundu ni Orange.
Una ona hivo vimaua vilivyo kwenye caption? Hiyo ndio nyekundu.
 
Daah ila wazazi wana kazi
Screenshot_20210719-140512_Instagram.jpg
 
Ni post moja tu ya Rayvanny kwenye page yake ya IG ilitosha kuisimamisha nchi.

Sasa mambo hadharani Rayvanny na Paula ni kama Bonnie and Clyde.

Wapendanao wa kitaifa wameweka kila kitu hadharani ikiwa ni masaa machache tu yamepita tangu Paula amesaini dili NONO la kutangaza nywele.
Hivi Rayvanny hajaanza kulala na Kajala maana hawa (Kajala na mwanawe) hawapendi kunyimana mtalimbo, wanashare pipi kijiti.
 
Ni post moja tu ya Rayvanny kwenye page yake ya IG ilitosha kuisimamisha nchi.

Sasa mambo hadharani Rayvanny na Paula ni kama Bonnie and Clyde.

Wapendanao wa kitaifa wameweka kila kitu hadharani ikiwa ni masaa machache tu yamepita tangu Paula amesaini dili NONO la kutangaza nywele.
Tafuta kazi acha ufala, kenge wewe
 
Mbona mambo ya facebook jamiiforums tena?aaarrrrgh!
 
Haya Mambo Bana Yana backfire Vibaya Sana, Kuna Mwanangu Mmoja namuambiaga the way unavyowasimamia Watoto Wawatu vifuani Zaidi ya Lisaa Lizima Tegemea Mwanao Wa Kike Nae atakutana na Wajanja watamsimamia Tu, ndicho kinachotokea Sasa Kwa Pfuck dhidhi ya Paul, na Pia Ndicho kitakachokuja kutokea kwa Diamond kwa Watto wake na Kwa Hyo Rayvany pia Kwa Watoto Wake. Karma is a Bitch ***** [emoji31][emoji31][emoji31][emoji31]
Ohoooo!!!!
 
Back
Top Bottom