Jinsi Rayvanny na Paula walivyoisimamisha nchi

Ni post moja tu ya Rayvanny kwenye page yake ya IG ilitosha kuisimamisha nchi.

Sasa mambo hadharani Rayvanny na Paula ni kama Bonnie and Clyde.

Wapendanao wa kitaifa wameweka kila kitu hadharani ikiwa ni masaa machache tu yamepita tangu Paula amesaini dili NONO la kutangaza nywele.
Sema ww ndo imekusimamisha na sio nchi
 
Haya Mambo Bana Yana backfire Vibaya Sana, Kuna Mwanangu Mmoja namuambiaga the way unavyowasimamia Watoto Wawatu vifuani Zaidi ya Lisaa Lizima Tegemea Mwanao Wa Kike Nae atakutana na Wajanja watamsimamia Tu, ndicho kinachotokea Sasa Kwa Pfuck dhidhi ya Paul, na Pia Ndicho kitakachokuja kutokea kwa Diamond kwa Watto wake na Kwa Hyo Rayvany pia Kwa Watoto Wake. Karma is a Bitch ***** [emoji31][emoji31][emoji31][emoji31]
 
Mtoto wa kike ameumbwa kupelekewa moto hata mtoto wako atagongwa sana na wahuni. Hiyo ndio kazi ya mwanamke duniani.
 
The 21 Bonnie and Clyde Hov babe Holla!!! Wataachana tu ni muda tu utasema ,sema KIMEUMANA in Advance.
 
Ni post moja tu ya Rayvanny kwenye page yake ya IG ilitosha kuisimamisha nchi.

Sasa mambo hadharani Rayvanny na Paula ni kama Bonnie and Clyde.

Wapendanao wa kitaifa wameweka kila kitu hadharani ikiwa ni masaa machache tu yamepita tangu Paula amesaini dili NONO la kutangaza nywele.
Ukitizama haraka haraka waweza dhani wote upande mmoja
 
Wewe ni mwanaume? Kama ndio basi hizo ni nyekundu maana hamjui kutofautisha rangi .
Ni mwanaume ndiyo.
Rangi nazijua ni Nyeupe, nyekundu, nyeusi na njano.. Bluu na kijani natambua uwepo wake japo hushindwa kutofautisha ipi ni Bluu ipi ni kijani.
 
Back
Top Bottom