Jinsi Rwanda inavyopambwa kuliko uhalisia wake

IQ ya Kagame ni kubwa sana katika uongozi.

Ana akili kubwa kivipi ?
Kukosa succession plan maana yake yeye akifa nchi inarudi kwenye vurugu
Hao watoto wake anaowaandaa kushika madaraka watakuja kugeukwa na marafiki anaokula nao sasa
Nchi yake inastawi kwa gharama ya vurugu zinazoendelea DRC

Paul Kagame + Major General Salim Saleh + M7. = Wezi wakubwa ktk banana region
 
Wellsaid
 
Rafiki yangu tuweke utani pembeni speed anaye enda nayo Kagame unaweza kuja kukuta akawa na jeshi bora East Africa we tega masikio tu, tutaziona Jet fighter za Rwanda zina cheza viuno Dar es Salam

Mmeyaona mabus lakini 😄
Kaka yule bado mdgo sana nakwambia bado mdgo enzi za kikwete alikua anahenya henya akiyekuja kuharbu mzee wa chato ndo alivuruga kila kitu kumuweka yule jamaa karbu ndo aliharbu kikwete akimuekea mipaka ika sie kwa sababu viongozi wetu walikua wanapeda kushindana na posti za twitter na insta tukamtuma sirro akijifunze rwanda sasa rwanda unajifunza nn. Nchi ina uchumi wa kwenye tv na kigali tu huko kwingine bado sana hujui kwamba ndo nchi ya mwisho duniani kwa umaskini iko top 5 kutoka chini ya rank za nchi maskin duniani ucpagawe na kigali ndugu yangu raia kule wana njaa hatari
 
Umesema vizuri.... Mag alikuwa mbabe akajumuika na mwenzake ila LILIKUWA ni kosa sana
 
Umesema veeema sana
 
Umesema vizuri.... Mag alikuwa mbabe akajumuika na mwenzake ila LILIKUWA ni kosa sana
Mzee yeye alikua akiskia njoo nkupe mbinu upambane na wapinzani alikua akifurah mzee wetu asilimoa 95% kapambana sana na upinzani sijui kwann alikua anawwza maendeleo ya one man army
 
Hata Demokrasia kule ni 0.8% ....
 
Acha uongo wako.Rwanda ni Nchi nzuri sana na ya amani tofauti na Tanzania Nchi ambayo haina amani.kila siku watu wanatekwa na kuuwawa mamia Kwa mamia ya watanzania
hahahaaaa... hivi kuna prezidaa aliyeuwa watu na wapinzani wake hapa east africa kama PAKA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…