Jinsi Rwanda inavyopambwa kuliko uhalisia wake

Jinsi Rwanda inavyopambwa kuliko uhalisia wake

Rafiki yangu point zako ni ๐Ÿ’ฏ nazikubali, nacho ongelea mimi zaidi ni huko mbele ya safari Kagame anaiba pesa Congo haibu anapeleka Rwanda mbali sana sio ilivyo kuwa.

Lakini umemuona mama Samia anakagua ndege za mafunzo ya kijeshi au bado ๐Ÿ˜„
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Acha bas mkuu.
Mama Samia anakagua ndege!?
Hiyo habari sina,ndege au mabasi ya jeshi??
 
Kucheza viuno kivipi kaka!?๐Ÿ™„๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Unamaanisha fighter jets za Rwanda zina survey anga la Tanzania!?

Huko kwa jeshi mkuu hata usiguse,hao Rwanda leo kikinuka nchi tunaigeuza mkoa ile.
Sio kwa vifaa wala jeshi la ardhini Rwanda hawezi mfikia Tanzania.
Niko na wewe lakini jeshi pia halihitaji mabus tu๐Ÿ˜„

Nilicho ongelea hatua ya kagame kulijenga jeshi la Rwanda inatisha siku za mbele asije kuwa na Air force ikawa inamzidi Tanzani. Hio mizinga ya saba saba mitatu itasaidia nini mbele ya safari.
 
Niko na wewe lakini jeshi pia halihitaji mabus tu๐Ÿ˜„

Nilicho ongelea hatua ya kagame kulijenga jeshi la Rwanda inatusha siku za mbele asije kuwa na Air force ikawa inamzidi Tanzani. Hio mizinga ya saba saba mitatu itasaidia nini mbele ya safari.
Daaah jamaa unazingua eti mizinga ya sabasaba mitatu.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Huyo mama samia mpumzisheni hii nchi ishamshinda.
No comment kwa huyo mama.
 
Nauli ni kiasi gani kwa from Dar au Kigoma bus.. nataka niivisit kwa siku kadhaa nitembee tu mitaani niimalize Kigari yote.. hint muhimu sehemu ambazo sio salama kuvist tafadhari
 
Kucheza viuno kivipi kaka!?๐Ÿ™„๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Unamaanisha fighter jets za Rwanda zina survey anga la Tanzania!?

Huko kwa jeshi mkuu hata usiguse,hao Rwanda leo kikinuka nchi tunaigeuza mkoa ile.
Sio kwa vifaa wala jeshi la ardhini Rwanda hawezi mfikia Tanzania.
Mbona ukigoogle unapata kila kitu. Kwa vifaa wametuzidi ila jeshi letu kubwa Sana. Vifaa vinanunuliwa tu vikihitajika.
 
Kucheza viuno kivipi kaka!?๐Ÿ™„๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Unamaanisha fighter jets za Rwanda zina survey anga la Tanzania!?

Huko kwa jeshi mkuu hata usiguse,hao Rwanda leo kikinuka nchi tunaigeuza mkoa ile.
Sio kwa vifaa wala jeshi la ardhini Rwanda hawezi mfikia Tanzania.
Mbona ukigoogle unapata kila kitu. Kwa vifaa wametuzidi ila jeshi letu kubwa Sana. Vifaa vinanunuliwa tu vikihitaji.
 
Rwanda ni nchi flan yenye ukubwa wa km za mraba zisizopungua 26330 hivi.. ikiwa na idadi ya watu wasiopungua million 10.. huku mji mkuu ukiwa ni Kigali wenye idadi ya watu kama million 1,288,000 ..miji mingine ya kutegemewa ni GISENYI, Wwenye idadi ya watu laki nane na ushee hivi...Pato ghafi ni dollar za kimarekani ni takriban billion 12 na million mia kadhaa. Huku Pato la kila mwananchi ni takriban dollar 909 na sent kadhaa... Rwanda wanategemea kilimo Cha chai na kahawa.

Japo Kwa Sasa wanajitahidi kulima maharage na mahindi pamoja na ndizi, biashara inayostawi na wanaojidai nayo ni biashara ya maziwa, na mnyrwanda humdanganyi kuhusu ubora wa maziwa.. wao huwa wanayaweka kwenye ukucha maziwa freshi yakisambaa tu kwenye ukucha anakuambia hamna KITU hapo ni maji tu...

Wana refineries kdhaa za kuchenjua dhahabu japo Wana kias au deposit ndogo sana ya dhahabu. Dhahabu nyingi inatoka mashariki mwa Kongo mahalo penye vurugu ila sijui kama wanaipata Kwa uhalali !!!!!! Kwa ufupi story za RWANDA NI PROPAGANDA, SIKU AKIFA MAGLASS WATATESEKA SANA
Kitu kizuri rwanda ni wanawake,ng'ombe na wifi baadhi ya mitaa ya kigali basiiii.
 
Back
Top Bottom