imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Mimi katika zunguka yangu hapa Afrika Mashariki sijawahi kunywa Maziwa matamu kama ya Rwanda.Ndo viwanda VYAO vya kuchakata maziwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi katika zunguka yangu hapa Afrika Mashariki sijawahi kunywa Maziwa matamu kama ya Rwanda.Ndo viwanda VYAO vya kuchakata maziwa
Nashukuru sana bossMkuu ukienda Rwanda tuwasiliane nina Marafiki wengi huko waje kukupokea.
Kwa nini unataka wateseke?Rwanda ni nchi flan yenye ukubwa wa km za mraba zisizopungua 26330 hivi.. ikiwa na idadi ya watu wasiopungua million 10.. huku mji mkuu ukiwa ni Kigali wenye idadi ya watu kama million 1,288,000 ..miji mingine ya kutegemewa ni GISENYI, Wwenye idadi ya watu laki nane na ushee hivi...Pato ghafi ni dollar za kimarekani ni takriban billion 12 na million mia kadhaa. Huku Pato la kila mwananchi ni takriban dollar 909 na sent kadhaa... Rwanda wanategemea kilimo Cha chai na kahawa.
Japo Kwa Sasa wanajitahidi kulima maharage na mahindi pamoja na ndizi, biashara inayostawi na wanaojidai nayo ni biashara ya maziwa, na mnyrwanda humdanganyi kuhusu ubora wa maziwa.. wao huwa wanayaweka kwenye ukucha maziwa freshi yakisambaa tu kwenye ukucha anakuambia hamna KITU hapo ni maji tu...
Wana refineries kdhaa za kuchenjua dhahabu japo Wana kias au deposit ndogo sana ya dhahabu. Dhahabu nyingi inatoka mashariki mwa Kongo mahalo penye vurugu ila sijui kama wanaipata Kwa uhalali !!!!!! Kwa ufupi story za RWANDA NI PROPAGANDA, SIKU AKIFA MAGLASS WATATESEKA SANA
Siyo popular democracy...ni autocratic leadershipKwa nini unataka wateseke?
Yapo ,vizuri sanaMimi katika zunguka yangu hapa Afrika Mashariki sijawahi kunywa Maziwa matamu kama ya Rwanda.
Kabla hajafa kuna wahuni kwao ndo hapatakalikaSiku AKIFA nchi hii haitakalika
Hahahahaaaaa...xongoKabla hajafa kuna wahuni kwao ndo hapatakalika
Waswahili hawatachelewa kuyaita inyage tu..yaani mvua inyeeshe tu!!!!!Nataka niwe importer wa Inyange water kuleta Tanzania. Hasa Yale maji yao ya vikao au mikutano , bongo sinaona maji ya vile.
Hata wa nchi fulani sio huko tu....Hahahahaaaaa...xongo
Democracy ikiwa popular inawasaidia nini? Kwa kipindi wamepitia unafikiri wanahitaji drama za Democracy kabla hawajastabilize? Kujenga nchi iliyotoka kwenye vita unafikiri ni rahisi?Siyo popular democracy...ni autocratic leadership
Msababishi wa Rwanda genocide ni yeyeDemocracy ikiwa popular inawasaidia nini? Kwa kipindi wamepitia unafikiri wanahitaji drama za Democracy kabla hawajastabilize? Kujenga nchi iliyotoka kwenye vita unafikiri ni rahisi?
Naona baada ya mdukuzi kuamka na pis zao bro ukaamua uamke na uchumi wao.Rwanda ni nchi flan yenye ukubwa wa km za mraba zisizopungua 26330 hivi.. ikiwa na idadi ya watu wasiopungua million 10.. huku mji mkuu ukiwa ni Kigali wenye idadi ya watu kama million 1,288,000 ..miji mingine ya kutegemewa ni GISENYI, Wwenye idadi ya watu laki nane na ushee hivi...Pato ghafi ni dollar za kimarekani ni takriban billion 12 na million mia kadhaa. Huku Pato la kila mwananchi ni takriban dollar 909 na sent kadhaa... Rwanda wanategemea kilimo Cha chai na kahawa.
Japo Kwa Sasa wanajitahidi kulima maharage na mahindi pamoja na ndizi, biashara inayostawi na wanaojidai nayo ni biashara ya maziwa, na mnyrwanda humdanganyi kuhusu ubora wa maziwa.. wao huwa wanayaweka kwenye ukucha maziwa freshi yakisambaa tu kwenye ukucha anakuambia hamna KITU hapo ni maji tu...
Wana refineries kdhaa za kuchenjua dhahabu japo Wana kias au deposit ndogo sana ya dhahabu. Dhahabu nyingi inatoka mashariki mwa Kongo mahalo penye vurugu ila sijui kama wanaipata Kwa uhalali !!!!!! Kwa ufupi story za RWANDA NI PROPAGANDA, SIKU AKIFA MAGLASS WATATESEKA SANA
Rwanda gani mkuu inayopiga hatua??Mmekalia Rwanda Rwanda wenzenu wanapiga hatua. Mtabakia hivyo hivyo na ujinga wenu.
Mkuu RWANDA kinachoipa KIburi ni rais wao yupo pale kimkakati akifanya Kaz kama wakala mkuu wa usimamizi wa magenge ya kihalifu Congo.. amefanya hivyo Kwa MIAKA 30 Sasa..uchumi wao ni biased kama ulivyosema. Amewekeza Zaid mjini..ndio maana licha ya udogo wake, Kigali Ina zaidi ya watu million 1.2.. miundo mbinu haba na huduma za jamii hafifu.mtandao wa barabara za lami ni mdogo sana huku sehem kubwa ya Rwanda ni vilima tu...mabonde mengi yamejaa wafugaji na WAUZA maziwa. Mazao kama vile pareto , mahindi japo siyo sana, na mpunga, mihogo , chai na karafuu wanajitahidi lkn hakuna LARGE SCALE FARMING .. mazao mengi yanatoka Kwa wakulima wadogo. Hii ni kutokana udogo wa eneo..Rwanda gani mkuu inayopiga hatua??
Rwanda iko na biased economy,yani maendeleo ya kujitenga ama kujibagua,maendeleo yanakitwa sana Kigali ila maeneo mengine haba.
*Kukuta hospitali sawa na hospitali ya rufaa Kigali mikoa mingine ni uongo.
*Food security hakuna.
*Huduma zinginezo za kijamii hazijakitwa kwa wingi kama hapa Tanzania.
Hivi unaamini bro madaktari wa Rwanda wanakuja kufunzwa Tanzania ubobezi kila mwaka!??
Na hospitali zao kuu za kujifunzia Mloganzila na Bugando.
Ardhi yenye eneo la kilimo la km 1.6 million itafanya Nini kulisha populated area? Muda mwingine tunawaoverate as if hatuwalishi Kwa vitu vingi.Kagame ana timu nzuri sana ya propaganda
Rwanda huwa hakuna uchaguzi bali maigizo tu,wanapiga oicha sehenu nzuribanabinti warembo wanapost mtandaoni ila uchumi wao ni mgumu sana