- Thread starter
- #21
Exactly population ni million 14 na vilaki kadhaaa..af Kigali ndo watu ni wengi ..nchi Ina vilima sana hiiiNchi nzima watu wasiopungua milioni 10, Kigali pekee ina watu milioni 1288000, "hili nalo mkaliangalie"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Exactly population ni million 14 na vilaki kadhaaa..af Kigali ndo watu ni wengi ..nchi Ina vilima sana hiiiNchi nzima watu wasiopungua milioni 10, Kigali pekee ina watu milioni 1288000, "hili nalo mkaliangalie"
Mkuu na ukifika huko kuna Bia inaitwa Mutzing usiondoke bila kutest, usije tu ukayafakamia maPrimus.Nataka nikatembelee Kigali
Nasikia unafungua biashara hata kampuni kwa masaa 24 tu kama ni foreigner
Hajawekeza Kwa watu kuongoza... Ni authoritarian democracyIQ ya Kagame ni kubwa sana katika uongozi.
Tunajaribu kuiwaza Rwanda Kwa mapana ndugu....
Siku AKIFA nchi hii haitakalika
Hahahahahahaha...Hata sioni hoja yako hapa ya maana ndo maana tumekuwa wajinga africa nzma ukute we naye una cheo huko ccm na wanakuaminia kbs.
Let's speak on the Rwandese people realitiesR
Unawaiza Rwanda wakati yenyewe inajiwazia yenyewe?. Huoni kwamba unajichosha.
Ndo viwanda VYAO vya kuchakata maziwaIkivuguto
Huwa nashangaa sana nikifika Rwanda ninachokiona hasa vijijini
Mkuu hata kama nakunywa nisingethubutu kunywa ugeniniMkuu na ukifika huko kuna Bia inaitwa Mutzing usiondoke bila kutest, usije tu ukayafakamia maPrimus.
Tz nimetembea sana...VIJIJI Bora kabisa kuanzia VIJIJI mnavyofugia ng'ombe ZENU mpaka misenyi kule unyambo na uhangazani..nenda kule mbeya vijiji vya ntokela . Mwakaleli ,tunakolima viazi , USangu na ubaruku tunakolima mpunga, ilongero na kititimo tunakolima vitunguuuUnashindwa kushangaza vijiji vya Tanzania unaenda kushangaa vijiji vya Rwanda?. Vijiji vya Tanzania hujaviona?
Wanayo boss .. zipo kadhaa . HeightsHivi chigali washajenga shopping mall kama ile ya mliman city au westgate ya Kenya?
Hivi chigali washajenga shopping mall kama ile ya mliman city au westgate ya Kenya?
Na wapinzani wanavyouwa SOUTH AFRICA, KESI NA KUAWA KWA WAPINZANI HUJUI ?
Let's speak on the Rwandese people realities
Tz nimetembea sana...VIJIJI Bora kabisa kuanzia VIJIJI mnavyofugia ng'ombe ZENU mpaka misenyi kule unyambo na uhangazani..nenda kule mbeya vijiji vya ntokela . Mwakaleli ,tunakolima viazi , USangu na ubaruku tunakolima mpunga, ilongero na kititimo tunakolima vitunguuu
Mkuu ukienda Rwanda tuwasiliane nina Marafiki wengi huko waje kukupokea.Mkuu hata kama nakunywa nisingethubutu kunywa ugenini
Ntaenda kwa lengo moja kuangalia uhalisia wake
Nasikia ukilewa polisi wanakupeleka ulipofikia
Na rushwa ndio dhambi kubwa kwa sasa
Mpaka nikapaone kwanza