Sir John Roberts JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 12,835 Reaction score 23,584 Sep 1, 2024 #121 Ighughuyi said: Huwa nashangaa sana nikifika Rwanda ninachokiona hasa vijijini Click to expand... Unachokiona ni nini ambacho hujakiona kwenye vijiji vya Tanzania?
Ighughuyi said: Huwa nashangaa sana nikifika Rwanda ninachokiona hasa vijijini Click to expand... Unachokiona ni nini ambacho hujakiona kwenye vijiji vya Tanzania?
4by94 JF-Expert Member Joined Oct 1, 2019 Posts 9,214 Reaction score 8,306 Sep 2, 2024 #122 Ighughuyi said: Na wapinzani wanavyouwa SOUTH AFRICA, KESI NA KUAWA KWA WAPINZANI HUJUI ? Click to expand... wamefika 83 ? usipende kupindisha ukwel kisa hujawa muhanga
Ighughuyi said: Na wapinzani wanavyouwa SOUTH AFRICA, KESI NA KUAWA KWA WAPINZANI HUJUI ? Click to expand... wamefika 83 ? usipende kupindisha ukwel kisa hujawa muhanga
Bunchari JF-Expert Member Joined Aug 31, 2017 Posts 558 Reaction score 661 Sep 2, 2024 #123 Siku Kp akitoweka Wahutu watadai wamweke wakwao na kule Kivu wakongo watawaondoa wanyamurenge na banyarwandwa itakua kitimtim N:B maneno ya kinabii
Siku Kp akitoweka Wahutu watadai wamweke wakwao na kule Kivu wakongo watawaondoa wanyamurenge na banyarwandwa itakua kitimtim N:B maneno ya kinabii