GE2025 Jinsi serikali ya CCM ilivyokataliwa ndani na nje ya Tanzani mpaka aibu

GE2025 Jinsi serikali ya CCM ilivyokataliwa ndani na nje ya Tanzani mpaka aibu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Kuboma

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
1,466
Reaction score
2,581
Yaani sijui CCM ilijiamini vipi kufanya hayo iliyofanya, maana imejichafulia ndani ya inchi mpaka nje, hata yale yaliyokuwa yamefunikwa huko nyuma hatimaye yametoka hadharani.

Lakini ukiangalia kwa jicho la kawaida inaonekana kama yalikuwa maamuzi ya mtu mmoja mwenye ndiye aliyeyapanga haya bila kupata ushauri bali kwa faida yake na genge lake, na jibu lake linakuja tuko hatarini maana tumewapa inchi watu wenye uwezo mdogo wa kufikiria.

Unajikuta na maswali mengi bila majibu hivi hakuna tena wenye uchungu na inchi zaidi ya Wapinzani, maana wangekuwepo ndani ya CCM wasingeruhusu haya mauaji ya stairi hii yatokee.

Aibu kwa jeshi la polisi, aibu kwa usalama wa Taifa na kila kitu.
 
Yaani CCM ndio wapo hatua za mwisho mwisho kabla hawajagawanyika na kusambaratika. Wao kwa wao hawaelewani kule ndani
 
Back
Top Bottom