Jinsi shangwe za teuzi za viongozi wa CCM zinavyozimika mithili ya Mshumaa nyikani

Jinsi shangwe za teuzi za viongozi wa CCM zinavyozimika mithili ya Mshumaa nyikani

Tangu Makonda apate uteuzi umeshafungua nyuzi 777 kumjadili. Hebu weka wazi huyu mwamba alikutaja orodha ya wauza Unga, Mapunga, waliotelekeza watoto au alikugusa engo ipi mkuu naona una ligi sana na Mwenezi wa Kijani.
Sidhani kama unajua kuwa akili yako haina akili, kwani kuna limit ya idadi ya nyuzi za kufungua? Hata wewe fungua kadili utakavyo
 
Kwa namna mambo ya CCM yanavyo fuatiliwa kwa ukaribu na nchi nzima ni wazi kuwa bado ipo mioyoni mwa wengi. Chama cha wananchi.
Usifananishe kufuatiliwa na kukejeliwa. Unapaswa uangalie ni ufuatiliaji chanya au hasi?
 
Back
Top Bottom