Jinsi Simba na Yanga wanavyobebwa

Kwa uchezaji ule wa jana utelembwe hiyo dec 11 wakileta timu tunawapiga za kutosha
Uchezaji wa jana ulikuwa na lengo la kukeep nguvu maana kuna utetezi wa taifa weekend hii , ni heri hata wangefungwa mechi hii ila Shirikisho wafuzu (hicho ndicho kipaumbele ) na kwa sasa timu hii itawachanganya wengi sana maana biriani wanalijua ,counter wanajua yaani hujui leo wanakuja vipi .Jana kuna mabadiliko ya kiuchezaji yalifanyika tu ndiyo maana Geita walishine ,kwa bongo hii Simba ndiyo mababa wa mpira wa kupossess sana hivyo Geita alikuwa anaweza kufunikwa tu kama sio game plan ya mwalimu kuwa tofauti jana
 
Mkuu ebu leo tujikite kuzungumzia ile penalty iliyosababishwa na feisal halafu na ile penalty iiliyopata faida yanga baada ya kushika mayele
Tunajikitaje wakati ameshakubli tunabebwa,sasa tunaangalia hili goli la jana lililo kataliwa kizembe kabisa au wewe mkuu hujakubali kuwa jana mbeleko ilihusika?
 
Unajipa moyo ee,hakuna cha biriani wala counter attack hapa.
 
Bora ya simba imefanyika usiku na tunaweza sema giza lilimchanganya refa, maana upande aliosimama refa alikua anazi face spot light kwa hiyo hata ungekuwa wewe ilikua ni ngumu kuona pale
Wewe ni zuzu kuliko mashabiki wote wa Simba kubali hilo kwanza ndo tuendelee.
 
Alichofanya Kapombe ni exaggeration.
 
Mkuu ebu leo tujikite kuzungumzia ile penalty iliyosababishwa na feisal halafu na ile penalty iiliyopata faida yanga baada ya kushika mayele
Umesahau goli la Feisal vs Kagera Sugar Jesus Muloko alikuwa offside wakati anapokea mpira kutoka kwa Yacouba Sogne. Hilo wengi hawalijui
 
Huwezi kusukumwa ukiwa umekanyaga chini halafu ukamudu kuruka juu. Hiyo physics wenzetu mnaitoa sayari gani? Kama nguvu ya kumsukuma Kapombe ingekuwa kubwa kiasi cha kumtoa kwenye reli asingeweza kwenda juu, labda kama reli aliyotolewa ni SGR.
 
Kaangalie marudiio pale, na elekeza macho yako kwa umakini, kabla wote wawili hawajaruka juu, .mikono ya Mchezaji wa GG..ilimpush Kapombe.
Shikilia hapo hapo,
"KABLA WOTE HAWAJARUKA JUU"
 
Endelea kujipa moyo,wenzio walio karibu na timu wanajua kitakachowakuta,yan timu icheze vibaya sbb ya match ya caf!
 
Kiufupi jana Simba amekuwa Rose Mhando
 
Mkuu ebu leo tujikite kuzungumzia ile penalty iliyosababishwa na feisal halafu na ile penalty iiliyopata faida yanga baada ya kushika mayele
Refer haya maneno yake

"Sijawahi kuikubali ile penalty ya Fei dhidi ya Namungo na leo tena Geita wamenyimwa goli waziwazi."

Siku nyingine usisome nusu nusu,Sawa KOLO..
 
Refer haya maneno yake

"Sijawahi kuikubali ile penalty ya Fei dhidi ya Namungo na leo tena Geita wamenyimwa goli waziwazi."

Siku nyingine usisome nusu nusu,Sawa KOLO..
🤣🤣🤣🤣Asante
 
Hebu wacha kuargue kibwege aisee, mleta Uzi kaandika vizuri na mada yake Hiko very clear hebu tufike mahalo hizi timu zishinde kwa uwezo si kwa mbeleko Kama Hilo la leo.
Shukran mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…