Jinsi Simba na Yanga wanavyobebwa

Jinsi Simba na Yanga wanavyobebwa

Bora ya simba imefanyika usiku na tunaweza sema giza lilimchanganya refa, maana upande aliosimama refa alikua anazi face spot light kwa hiyo hata ungekuwa wewe ilikua ni ngumu kuona pale
Hebu wacha kuargue kibwege aisee, mleta Uzi kaandika vizuri na mada yake Hiko very clear hebu tufike mahalo hizi timu zishinde kwa uwezo si kwa mbeleko Kama Hilo la leo.
 
Hakuna kuassume yaan ni kupitia games zote zenye utata hata kama Yanga atapoteza zote sawa tu kikubwa akili iwakae.Watu wanacheka kwa kuridhika wenzao wanakaza afu refa anafanya yake.Geita watakuwa wameumia sana.
Ni ukweli inaboa unajituma kupambana halafu mtu mwingine kwa makosa yake ya kutomakinika anakataa goli la wazi

Tumsamehe bure ni makosa ya kibinadamu hajafanya kwa kupenda
 
Huko ndio tatizo liliko anzia
si na uzi wake ulikuwepo tayari una Week kabisa.

Hakuna namna Rose muhando kafanya yake remix na mudi.
Naskia wamekuweka uwe rapper umeingiza vocal?
 
si na uzi wake ulikuwepo tayari una Week kabisa.

Hakuna namna Rose muhando kafanya yake remix na mudi.
Naskia wamekuweka uwe rapper umeingiza vocal?
Gundu ilianzia pale
 
Umeona sasa

Kumbe nawewe uliona kama mimi, na refa aliona hivyo hivyo

Pale ilitakiwa hata kadi itoke, ni huruma tu za refa
Hilo liko wazi, ukiweka mtazamo wako Kigoligoli, kamwe huwez ona madhambi alocheza yule Jamaa.

Jamaa alimpush kwenda mbele, ,kiasi kwamba akamtoa Kapombe kwa balanc , kapombe anaruka juu ,kwakua keshatolewa kwa rel, haufikii Mpira, nasababu hiyo hiyo ndio inafanya Kapombe Aanguke chini !!!.

Wee unadhan kwann Kapombe alianguka?? Ili hali wote wameruka ??.

TFF wanaweza kumuonea Sanya , kwa kelele za mitandaoni.

Ila kama yeye alitafasiri ni UOTEAJI..hapo panashida.
 
Macho yako labda yalikuwa na makengeza au ulilewa balimi..

Mechi ya mchongo full stop
Kaangalie marudiio pale, na elekeza macho yako kwa umakini, kabla wote wawili hawajaruka juu, .mikono ya Mchezaji wa GG..ilimpush Kapombe.
 
Hilo liko wazi, ukiweka mtazamo wako Kigoligoli, kamwe huwez ona madhambi alocheza yule Jamaa.

Jamaa alimpush kwenda mbele, ,kiasi kwamba akamtoa Kapombe kwa balanc , kapombe anaruka juu ,kwakua keshatolewa kwa rel, haufikii Mpira, nasababu hiyo hiyo ndio inafanya Kapombe Aanguke chini !!!.

Wee unadhan kwann Kapombe alianguka?? Ili hali wote wameruka ??.

TFF wanaweza kumuonea Sanya , kwa kelele za mitandaoni.

Ila kama yeye alitafasiri ni UOTEAJI..hapo panashida.
Refa alitafsiri ni faulo baada ya kapombe kuanguka, sio offside
 
Tatizo la simba wanaambiwa waachane na vizee hawataki.

Kamtu kamechoka hata kuruka kupiga kichwa kameshindwa kilichobaki ni mbeleko..
Naomba sanya atuweke wazi either alitafsiri jamaa alisukumiza au offside?
Ili tujue tu pia amelipwa bei gani
 
Refa alitafsiri ni faulo baada ya kapombe kuanguka, sio offside
Basi Refa yuko sahihi, na ukiwa makini UTAONA ,hata ukirejea video za marudio utaona.

Kapombe asingeguswa, ALIVYORUKA, ANGEUPATA, NA ASINGETUA KWA KUANGUKA CHINI.

Hata wao GG, wanajua hilo !!!.
 
Tatizo la simba wanaambiwa waachane na vizee hawataki.

Kamtu kamechoka hata kuruka kupiga kichwa kameshindwa kilichobaki ni mbeleko..
Naomba sanya atuweke wazi either alitafsiri jamaa alisukumiza au offside?
Ili tujue tu pia amelipwa bei gani
🤣🤣🤣🤣
 
You are a living IDIOT
Sawa bwana solomon tumekua tukisoma habari zako tangu na tangu na zote zikionesha wewe ulipendelewa na Mungu kwa kukupa hekima kuliko wengine

Hekima ambazo umekua ukizitumia kuona ujinga wa watu wengine, sikupingi kwa hilo.
 
Maamuzi ya Refa yalikuaje, Ni Kaotea au kafanya Faulo?.

Ukitazama Kwa makini, Yule Mchezaji wa Geita G, kabla hajaruka juuu, mikono yake ilimsukuma Kapombe, na ndio sababu Kapombe pamoja nakuruka juu, Aliishia kuanguka chini, sababu tayari alishatolewa kwa Reli.
Naam na hicho ndicho tumebishana na watu mtaani kwamba kamera haijatuonesha kabla mpira haujapigwa Kapombe na mchezaji wa Geita Gold walikuwa vipi maana ukitazama inaonekana tu kapombe karuka juu wakati mwenzake mikono ipo mbele na ndiyo anaruka yaani inaonesha kapombe aliruka kabla ya mwenzake ila cha ajabu kapombe alikuwa anaanguka wakati mpira unapigwa na mfunga goli jambo linaloonesha wazi kwamba kulikuwa na hali ya kusukumwa kwa kapombe kabla mchezaji wa Geita hajapokea mpira.

Camera imetunyima uhalisia wa tukio la kwa nini Kapombe adondoke tena mbele na wakati anadondoka mwenzake anascore
 
Kwa uchezaji ule wa jana utelembwe hiyo dec 11 wakileta timu tunawapiga za kutosha
 
Back
Top Bottom