Hebu wacha kuargue kibwege aisee, mleta Uzi kaandika vizuri na mada yake Hiko very clear hebu tufike mahalo hizi timu zishinde kwa uwezo si kwa mbeleko Kama Hilo la leo.Bora ya simba imefanyika usiku na tunaweza sema giza lilimchanganya refa, maana upande aliosimama refa alikua anazi face spot light kwa hiyo hata ungekuwa wewe ilikua ni ngumu kuona pale