Alonso14
JF-Expert Member
- Aug 6, 2017
- 1,785
- 1,817
BangiSpurs 5 man city 2
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BangiSpurs 5 man city 2
Uongo gani sasa mimi nimesema hapo? Uwe unasoma uelewe ndio uniquote. Nimesema pengo la Wanyama ambaye huwa anacheza kama holding middifilder ni kubwa. Ni tofauti na anapocheza winks au Mussa Sissoko.Acho uongo Madrid mbona kafa bila victor?
Gadiola hawezi kuruhusu huo ufalaMan City anatumia mfumo wa 4-3-3, katika mfumo huu, Kiungo mkabaji huwa ni mmoja na automatic huwa ni Fernandinho. Wengine De Bruyne na Silva ni viungo washambuliaji hivyo hutumia muda mwingi kushambulia wakivuka half yao na kumuacha Fernandinho akifanya doria ya ukabaji peke yake dhidi ya counter attack za adui.
Pia wakati huo City ikiwa inashambulia, full back wake wawili, Kyle Walker na Delph wanavuka half yao kwenda kuongeza mashambulizi langoni mwa adui na kuwaacha Otamendi na Nahodha Kompany wakibaki peke yao na ambao hawana spidi pindi tu Fernandinho akipitwa.
Hapo ndipo matatizo yatakapoanza kwa upande wa City, maana hakuna timu iliyobora katika Counter attack kama Spurs ya Mauricio Pochettino.
Kasi na spidi ya Mkorea Son, Dele Alli, Harry Kane kwa hakika hazitowaacha salama Man City. Na kwa mbinu hizo, pasi na shaka yoyote ile kesho Man City anaenda kufungwa mechi yake ya kwanza katika EPL msimu huu!
Kwa wale mnaobet kesho msikengeuke mpeni Spurs mzigo na hakika hatawaangusha.
Povu ruksa!
WACHA KUFANANISHA VITU VIZURI NA MAVI MKUU.City kwa sasa ni kama ccm. Mbele kwa mbele. Ila game itakuwa ngumu. Pengo la mkenya Victor wanyama ndio linaisumbua spurs
California inaingiza revenue ya kutosha!Bangi
Kashakufaaaa tayariiiHamna wa kumfunga wala kuDraw na Spurs apo...Tott naipenda piah ila kashakufa hapo
Kaka umepata matokeoMan city anakula kipigo cha kwanza icho kwny EPL akijitahidi sana atatoa sare
Akiamka unishtue mkuuKaka umepata matokeo