Jinsi Spurs atakavyomfunga Man City kesho, 16/12/2017

Jinsi Spurs atakavyomfunga Man City kesho, 16/12/2017

Nilitegemea sana Man U amfunge City ili Tottenham nae ajichukulie point ili sisi Chelsea tupunguze point 6
 
Acho uongo Madrid mbona kafa bila victor?
Uongo gani sasa mimi nimesema hapo? Uwe unasoma uelewe ndio uniquote. Nimesema pengo la Wanyama ambaye huwa anacheza kama holding middifilder ni kubwa. Ni tofauti na anapocheza winks au Mussa Sissoko.

Kutokuwepo pia kwa Tobby nalo ni tatizo pia kwa spurs.
 
Man City anatumia mfumo wa 4-3-3, katika mfumo huu, Kiungo mkabaji huwa ni mmoja na automatic huwa ni Fernandinho. Wengine De Bruyne na Silva ni viungo washambuliaji hivyo hutumia muda mwingi kushambulia wakivuka half yao na kumuacha Fernandinho akifanya doria ya ukabaji peke yake dhidi ya counter attack za adui.

Pia wakati huo City ikiwa inashambulia, full back wake wawili, Kyle Walker na Delph wanavuka half yao kwenda kuongeza mashambulizi langoni mwa adui na kuwaacha Otamendi na Nahodha Kompany wakibaki peke yao na ambao hawana spidi pindi tu Fernandinho akipitwa.

Hapo ndipo matatizo yatakapoanza kwa upande wa City, maana hakuna timu iliyobora katika Counter attack kama Spurs ya Mauricio Pochettino.

Kasi na spidi ya Mkorea Son, Dele Alli, Harry Kane kwa hakika hazitowaacha salama Man City. Na kwa mbinu hizo, pasi na shaka yoyote ile kesho Man City anaenda kufungwa mechi yake ya kwanza katika EPL msimu huu!

Kwa wale mnaobet kesho msikengeuke mpeni Spurs mzigo na hakika hatawaangusha.

Povu ruksa!
Gadiola hawezi kuruhusu huo ufala
 
Man city anakula kipigo cha kwanza icho kwny EPL akijitahidi sana atatoa sare
 
20:30

MANCHESTER CITY

Vs

TOTTENHAM HOTSPUR
 
Back
Top Bottom