Jinsi Spurs atakavyomfunga Man City kesho, 16/12/2017

Mchambuzi uchwara
 
Umerudi kuona uzi wako kweli??(
 
Kwa wachambuzi kama hawa bongo kwenye soka tutazidi kusindikiza
 
Pep siyo kama akili yako, yule ni kijana wa kitofauti kabisaaa. Ana badilika balaa. Mechi ya Utd kampiga benchi Aguero

Big 4 wote washakula kichapo. Kabakia Spurs.
Naamini na yy atachezea. Na akijidanganya kushambulia atakula 4!!
ulijuaje?

huu uzi sikuwa nimeuona ndo nauona mda huu leo wakati spurs kashakula 4.
huyu FORTALEZA alifungua uzi atakuwa ni man u tu huyu, walisema city hajakutana na timu kubwa, mm sijaelewa mzunguko wa kwanza huwa kuna kuna na timu ndogo ? 18 unbitten ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…