Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pep siyo kama akili yako, yule ni kijana wa kitofauti kabisaaa. Ana badilika balaa. Mechi ya Utd kampiga benchi Aguero
Big 4 wote washakula kichapo. Kabakia Spurs.
Naamini na yy atachezea. Na akijidanganya kushambulia atakula 4!!
HahahaaaaaaHuyu PEP GUARDIOLA ni bora afukuzwe tu england maana anatuharibia ligi
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Msalaba wa jumuiya umemalizia ziara kwa viongozi wakubwa wa jumuiya
Mchambuzi uchwaraMan City anatumia mfumo wa 4-3-3, katika mfumo huu, Kiungo mkabaji huwa ni mmoja na automatic huwa ni Fernandinho. Wengine De Bruyne na Silva ni viungo washambuliaji hivyo hutumia muda mwingi kushambulia wakivuka half yao na kumuacha Fernandinho akifanya doria ya ukabaji peke yake dhidi ya counter attack za adui.
Pia wakati huo City ikiwa inashambulia, full back wake wawili, Kyle Walker na Delph wanavuka half yao kwenda kuongeza mashambulizi langoni mwa adui na kuwaacha Otamendi na Nahodha Kompany wakibaki peke yao na ambao hawana spidi pindi tu Fernandinho akipitwa.
Hapo ndipo matatizo yatakapoanza kwa upande wa City, maana hakuna timu iliyobora katika Counter attack kama Spurs ya Mauricio Pochettino.
Kasi na spidi ya Mkorea Son, Dele Alli, Harry Kane kwa hakika hazitowaacha salama Man City. Na kwa mbinu hizo, pasi na shaka yoyote ile kesho Man City anaenda kufungwa mechi yake ya kwanza katika EPL msimu huu!
Kwa wale mnaobet kesho msikengeuke mpeni Spurs mzigo na hakika hatawaangusha.
Povu ruksa!
Umerudi kuona uzi wako kweli??(Man City anatumia mfumo wa 4-3-3, katika mfumo huu, Kiungo mkabaji huwa ni mmoja na automatic huwa ni Fernandinho. Wengine De Bruyne na Silva ni viungo washambuliaji hivyo hutumia muda mwingi kushambulia wakivuka half yao na kumuacha Fernandinho akifanya doria ya ukabaji peke yake dhidi ya counter attack za adui.
Pia wakati huo City ikiwa inashambulia, full back wake wawili, Kyle Walker na Delph wanavuka half yao kwenda kuongeza mashambulizi langoni mwa adui na kuwaacha Otamendi na Nahodha Kompany wakibaki peke yao na ambao hawana spidi pindi tu Fernandinho akipitwa.
Hapo ndipo matatizo yatakapoanza kwa upande wa City, maana hakuna timu iliyobora katika Counter attack kama Spurs ya Mauricio Pochettino.
Kasi na spidi ya Mkorea Son, Dele Alli, Harry Kane kwa hakika hazitowaacha salama Man City. Na kwa mbinu hizo, pasi na shaka yoyote ile kesho Man City anaenda kufungwa mechi yake ya kwanza katika EPL msimu huu!
Kwa wale mnaobet kesho msikengeuke mpeni Spurs mzigo na hakika hatawaangusha.
Povu ruksa!
Kwa wachambuzi kama hawa bongo kwenye soka tutazidi kusindikizaMan City anatumia mfumo wa 4-3-3, katika mfumo huu, Kiungo mkabaji huwa ni mmoja na automatic huwa ni Fernandinho. Wengine De Bruyne na Silva ni viungo washambuliaji hivyo hutumia muda mwingi kushambulia wakivuka half yao na kumuacha Fernandinho akifanya doria ya ukabaji peke yake dhidi ya counter attack za adui.
Pia wakati huo City ikiwa inashambulia, full back wake wawili, Kyle Walker na Delph wanavuka half yao kwenda kuongeza mashambulizi langoni mwa adui na kuwaacha Otamendi na Nahodha Kompany wakibaki peke yao na ambao hawana spidi pindi tu Fernandinho akipitwa.
Hapo ndipo matatizo yatakapoanza kwa upande wa City, maana hakuna timu iliyobora katika Counter attack kama Spurs ya Mauricio Pochettino.
Kasi na spidi ya Mkorea Son, Dele Alli, Harry Kane kwa hakika hazitowaacha salama Man City. Na kwa mbinu hizo, pasi na shaka yoyote ile kesho Man City anaenda kufungwa mechi yake ya kwanza katika EPL msimu huu!
Kwa wale mnaobet kesho msikengeuke mpeni Spurs mzigo na hakika hatawaangusha.
Povu ruksa!
Ha. Ha ha ulikuwa kwenye vigango Leo umezindua parokia Kwa tetes nilizonazo haulali hapa utalala uaskofuniMsalaba wa jumuiya umemalizia ziara kwa viongozi wakubwa wa jumuiya
Ahahaaaah...Updates...
MANCHESTER CITY NDIO TEAM BORA KWASASA BARANI ULAYA!
Aisee...Pep siyo kama akili yako, yule ni kijana wa kitofauti kabisaaa. Ana badilika balaa. Mechi ya Utd kampiga benchi Aguero
Big 4 wote washakula kichapo. Kabakia Spurs.
Naamini na yy atachezea. Na akijidanganya kushambulia atakula 4!!
ulijuaje?Pep siyo kama akili yako, yule ni kijana wa kitofauti kabisaaa. Ana badilika balaa. Mechi ya Utd kampiga benchi Aguero