ulijuaje?
huu uzi sikuwa nimeuona ndo nauona mda huu leo wakati spurs kashakula 4.
huyu
FORTALEZA alifungua uzi atakuwa ni man u tu huyu, walisema city hajakutana na timu kubwa, mm sijaelewa mzunguko wa kwanza huwa kuna kuna na timu ndogo ? 18 unbitten ?