Jinsi Spurs atakavyomfunga Man City kesho, 16/12/2017

Jinsi Spurs atakavyomfunga Man City kesho, 16/12/2017

ulijuaje?

huu uzi sikuwa nimeuona ndo nauona mda huu leo wakati spurs kashakula 4.
huyu FORTALEZA alifungua uzi atakuwa ni man u tu huyu, walisema city hajakutana na timu kubwa, mm sijaelewa mzunguko wa kwanza huwa kuna kuna na timu ndogo ? 18 unbitten ?
Ha ha ha ha Pep namuogopa sn aisee. Binafsi nilicheki game jana ukumbini, Man Utd Fans waliondoka baada ya watu kupigwa tu 2 za mwanzo.
 
Back
Top Bottom