Jinsi suala la bandari linavyoidhalilisha na kuichafua LHRC

Kama unategemea jeshi litafanya mapinduzi ili kumweka kibara wa wabeleji Lisu madarakani, sahau na ondoa kbs fikra mfu hizo.
Wakae hao hao wanajeshi, wakiona mifumo imeshakaa sawa wataachia serekali ya kiraia ambayo itawekwa madarakani kwa kura halali za wananchi.
 
Nasikia wanaandikishwa mashahidi pale Rumumba, ni vyema ukaenda kuwa mmoja wapo ili uwe shahidi mwema wa Taifa.
 
Ukitumia maarifa uliyonayo kutafuta fedha hutopata muda wa kuwa mpambe wa mtu,bali utamiliki wapambe. ACHA UPAMBE wa kipumbavu,tetea RASILIMALI ZA TAIFA.
 
Yaani wewe ni zaidi ya mjinga'kichwa chako pekee kimebeba ujinga wa wajinga Mia moja.
 
Hivi wewe Mr Dudumizi mtu kama huyu👇👇👇 mwenye kufanya makosa ya wazi na ya kizembe kiasi hiki ktk kuwasiliana na umma unafikiri atakuwa amefanya maamuzi mangapi ya kimakosa, mabovu na yenye kuumiza nchi na wananchi?


Ndugu Mr Dudumizi, maafa na uharibifu wowote huanzia kwenye misinformation. Makosa kama haya yanaifanya taarifa kukosa clarity na kuonesha kuwa ni ubabaishaji tu huko serikalini hivyo kupelekea hata ujumbe wenyewe kutoeleweka na kujaa utata mtupu..

Unataka mtu kama huyu apewe heshima gani isipokuwa kushitakiwa kwa uhaini kwa ku - mislead watu na nchi?

Jiongeze, usijiuze kwa bei rahisi kiasi hicho. Badilika na kemea uzembe wa viongozi wabovu wa serikali hii ili uiokoe nchi yako!!
 
Msikilize Rc Chalamia alivyosema kuhusu wakosoaji wa Mkataba wa Bandari afu uje humu kuendelea
"Jambo baya daima haliwezi Zidi Jema"
 
CCM huwa mnajiona raia wa daraja la Kwanza wakati mmejaa shida mwili mzima. Mnakesha kutukana watu mitandaoni na kwenye mikutano ya hadhara, Huyo mama yenu akiambiwa ukweli kauza bandari za Tanganyika kasepesha za kwao Mchambawima mnasema anatukanwa.
Kumbe na wewe ni mwana mipasho. Nilitegemea ungeweka mkataba hadharani ili tuone eneo lenye mauziano.

Ujinga huu ndio unaofanya wanasiasa uchwara waendelee kupata ugali wao kirahisi rahisi.
 
Kwahiyo hili ndio limemfanya Dr Slaa ahisi kwamba anaweza kufanya mapinduzi na akawa raisi wa nchi yetu?
 
Msikilize Rc Chalamia alivyosema kuhusu wakosoaji wa Mkataba wa Bandari afu uje humu kuendelea
"Jambo baya daima haliwezi Zidi Jema"
Kwanini nimsikilize Chalamila na wakati najua kuna wakosoaji wengi tu wamekosoa mkataba bila kukamatwa?
Unataka kunambia kina Lisu, Mbowe, Tibaijuka na Pengo wamekamatwa na wao? Mbona walikosoa na wengine (Lisu) akaongeza matusi juu?
 
Hivi mnaitwa chawa wa mama ?
 
Anna anatumiwa na wazungu kusapoti ujinga kwa nchi yetu.
 
Yaani wewe ni zaidi ya mjinga'kichwa chako pekee kimebeba ujinga wa wajinga Mia moja.
Siku mwenyekiti wako akikurudishia akili zako, utajilaumu sana kwa kupoteza muda wako kupigania ugali wa baba wa wenzako.
 
Nasikia wanaandikishwa mashahidi pale Rumumba, ni vyema ukaenda kuwa mmoja wapo ili uwe shahidi mwema wa Taifa.
Rumumba ndo nini?

Wewe hata kuandika haujui alaf unategemea chadema itakupitisha kugombea ubunge kweli 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…