Jinsi Tundu Lissu Alivyojikaanga Kwa "Mafuta ya Taaluma Yake!!"

Jinsi Tundu Lissu Alivyojikaanga Kwa "Mafuta ya Taaluma Yake!!"

Mkuu wewe unaonesha kuwa hujasikiliza "maoni ya wachache" yaliyowasilishwa na "mwanasheria nguli!"
Mkuuu mbona unatoa povu sana umetumwa uje uwatetete nini?think twice mkuu pia jipanga sio tu kukurupuka na kuchangia hoja au ndio buku 7 kazini?
 
CDM kumbe ni Chama BATILI mkuu, Lissu katutoa tongotongo!

ATA MKOJO UKIKUBANA UNAUWEZO WAZUWIA ILA MWISHO LAZIMA UKAKOJOWE!
KAZI KUBWA SANA NDUGU KUFICHA UWONGO NA UWONGO UNA MWISHO ILA UKWELI HAUNA MWISHO!
ENDELEA KUISHI KWA UWONGO ILA MWISHO UMEFIKA !
ILA MJUWE MWISHO WA YOTE MAHAKAMANI LAZIMA MFIKE TU MTAKAPOLAZIMISHA MAMBO MLIZOEA KUUWA KWA STORY ZA KUFIKIRIKA SASA APA KWENYE KATIBA MMEINGIA KWENYE 18, NA 100% HAMTOKI SALAMA!
:embarassed2:
 
Kama tumeishi hivyo alivyosema, je tuendelee hivyo hivyo. Nadhani ni nafasi nzuri na ya kipekee kujirekebisha. Hapa ndipo pale mkuu wa nchi anaposema changanya na za kwako. Walifanya hivyo tuchanganyeni zetu - turekebishe UBATILI huu wote
 
Utarekebishaje kwa utaratibu BATILI mkuu, maana mpaka sasa Bunge Maalum la Katiba ni BATILI, labda tumuulize "Mwanasheria Nguli" Tundu Lissu atuelimishe pa kuanzia!
Batili hii kwa maoni yako unapendekeza ihalalishwe vipi?
 
Alichosema Lissu ni ukweli mtupu kuhusu Nyerere.

Kwa maana hiyo, alichosema Lissu kuhusu Muungano ni ukweli mtupu.Angalau kwa hilo tupo ukurasa mmoja. Naomba usiyumbe.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kwa maana hiyo, alichosema Lissu kuhusu Muungano ni ukweli mtupu.Angalau kwa hilo tupo ukurasa mmoja. Naomba usiyumbe.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Mkuu naona unataka kumnyatia jamaa kifungu kwa kifungu
 
Lissu anaanza kufanana na Lema..noises nyiingi but substance kidogo
different people with different ways of understanding and internalizing issues , eti hakuna subsitences kwenye speech za TL, nani kakwambia ?
 
Sasa wewe hizi kamasi zako ndio better? haishangazi kina Max wamekufukuza kazi ya umoderotor up stairs empty.

Hili ni vuvuzela la chama kiovu liache limeshazoea vya kunyonga usililazimishe vya halali mtagombana bure
 
Mkuu Buchanan nimesoma andiko lako mara mbili mbili,nimeshindwa kubaini hoja yako dhidi ya Lissu ni nini haswa.Labda nianze na maelezo mafupi sana ambayo yanaweza kuondoa sintofahamu ya kile Mheshimiwa Lissu alichosema.

Muungano wa Jamhuri ya Tanganyika na ile ya Zanzibar haukufuata taratibu za kisheria.Ikiwa taratibu hazikufuatwa maana yake ni moja nayo muungano wetu ni batili.JMT imeishi kwa zaidi ya nusu karne sasa katika hali ya kutishana,usiri,kufukuzana na nk kwasababu wahasisi walijua muungano walioujenga hakuwa halali wakamua kufuata njia ya vitisho na ndicho kinachoendelea katika bunge la katiba waumini wa serekali 2 hawana hoja wanatumia vitisho zaidi kwakuwa hoja zao hazina mashiko.

Kinachonishangaza ni pale Tundu Lissu anapomtunishi msuli Baba wa Taifa wakati yeye Tundu Lissu ameshiriki kutunga Sheria Batili, Kujiunga na Chama BATILI, nk!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu stroke unaweza kuheshimu kazi za wazee wako kama kazi hizo zinakutendea haki.Muungano unatimiza miaka 50 sasa ebu tuangalie manufaa ya huu muungano.

Muungano wa nchi mbili Tanganyika na Zanzibar umezaa nchi mbili moja ikiitwa Zanzibar na nyingine ikiitwa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.

Muungano wa Tanzania na Zanzibar kuna wananchi wenye uraia wa nchi mbili.Kuna raia wa Tanzania halafu kuna raia wenye uraia wa Zanzibar ambao kiuhalisia wana uraia wa nchi mbili yaani uraia wa Zanzibar na utanzania.Kuna uraia wa Tanzania ambao unaishia huku bara ukitia pua Zanzibar wewe ni mgeni lazima upewe kitambulisho za ukaazi na ukitaka kufanya kazi lazima upate kibali lakini mzinzibar akija Tanganyika hana sharti la ukaazi anakuwa na haki zote kuanzia kumiliki ardhi,kugombe nafasi za kisiasa na nk.

Muungano waliotuachi wazee wetu ni muungano wa upande mmoja kubebwa zaidi na upande mwingine kubeba mzigo wa upende mwingine na matusi juu.

Ikiwa unaridhika na aina ya huu muungano basi utatakiwa kupimwa akili zako mirembe.

mkuu huu waraka unamfaa huyo ndugu asiye na heshima kwa kazi za wazee wetu, huko ni kupungukiwa adabu tu, na kupenda sifa za magazeti
 
Wakuu,
Haina shaka kwamba Hotuba ya Tundu Lissu imevuta hisia za washabiki wengi wa "Serikali 3/Nchi 3!" Pia nichukue nafasi hii kumpongeza Mheshimiwa huyo kwa kuwasilisha maoni ya wachache na kuchambua Sheria akienda sambamba na historia ya Muungano wetu tangu kuundwa kwake mpaka leo.
Mwanasheria huyo nguli, kama baadhi wanavyomwita ameenda mbali sana, bila kuuma maneno akidai kwamba Muungano wetu wa iliyokuwa Jamhuri ya Tanganyika na iliyokuwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar hauna uhalali wowote wa kisheria kwa kuwa haukuridhiwa na Baraza la Wawakilishi, hata kama uliridhiwa na Bunge la Tanganyika tu!

Amedai pia kwamba kwa sasa tufute Sikukuu ya Muungano wetu na kuanzisha
"Siku ya Shirikisho!"Kwa hoja hizo za Lissu mimi sina ubavu wa kuzipinga kwa kuwa ametaja na vifungu vya kisheria vya wakati huo, tukubali tu kwamba Muungano HAUNA UHALALI WOWOTE WA KISHERIA!

Hata hivyo, Tundu Lissu alifikiri kwamba hoja hiyo inamu-implicate tu Nyerere ambaye amemtaja mara nyingi kwamba mambo mengi ameyafanya kwa AMRI YA RAIS. Mambo hayo ni kamba vile:
1. Jina la Nchi,
2. Kuiua Tanganyika,
3. Nembo ya Taifa, nk.

Kama Muungano hauna uhalali wowote maana yake nini?

1. Ni kwamba Tundu Lissu alifanya makosa kugombea ubunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano "BATILI," kwa hiyo Ubunge wa Lissu mpaka sasa ni "BATILI!"
2. Kwamba, hata mchakato huu wa kuandika Katiba Mpya ni "BATILI" kwa kuwa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba imetungwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano" BATILI,"
3. Kwamba, Tundu Lissu amechangia kutunga Sheria "BATILI" za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwa Bunge nalo ni "BATILI,"
4. Kwamba CHADEMA nacho ni chama "BATILI" kwa kuwa kimeundwa kwa Mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa ambayo imetungwa na Bunge "BATILI" la Muungano,
5. Kwamba, shughuli zote za kisiasa za Tundu Lissu hazina uhalali wowote wa Kisheria kwa kuwa zimefanywa kwa kufuata Sheria za Muungano "BATILI,"
6. Kama Lissu ana vyeti vya Shule za Tanzania navyo ni "BATILI" kwa kuwa vimetolewa na Serikali "BATILI,"
7. Kama Tundu Lissu amezaliwa baada ya Muungano na kupewa Cheti cha Kuzaliwa ahesabu kuwa ni "BATILI" mpaka sasa,
8. Kesi zote alizoshinda Tundu Lissu mahakamani ajue kwamba ni "UBATILI" mtupu maana" MUUNGANO HUU NI BATILI," kwa hiyo hata mahakama za Muungano ni "BATILI,"
9. Kama Tundu Lissu ameoa baada ya Muungano ajue kuwa ameumia, ni ndoa "BATILI" hiyo!!!
10..................

Hongera sana Tundu Lissu kwa Hotuba Murua...............Ila usiendelee kuwepo kwenye BUNGE hilo "BATILI" kwa kuwa limeundwa na Sheria "BATILI!!!" Tafadhali sana, I am not joking, this time around!

mkuu nakushukuru kwa ufafanuzi wako unaweza kutuambia we we ni RAIA Wa Tanganyika au Tanzania ili na we we usiwe batili
 
Mimi nimetoa pointi tupu, ndio maana hujakanusha hata moja, yaani umeshindwa pa kuanzia! Mimi nimekubali kuwa Muungano wetu ni BATILI, ila Lissu naye amechangia katika kuendeleza mambo BATILI. Au tuseme amegundua juzi tu wakati anaandaa Ripoti ya Wachache kuwa MUUNGANO WETU NI BATILI?

Wewe ni moja ya wale watu Mungu alisema atawatapika maana huu moto wala baridi then unajisifia hoja yako haijapingwa ni upuuzi watu wameona hawana haja ya kusumbua vidole vyao kuandika mimi tu kwa sababu napenda wajinga wajue upuuzi wao ndo maana nimekuandikia haya upate muda wa kujirekebisha.
 
Lissu anaanza kufanana na Lema..noises nyiingi but substance kidogo
umeona ee halafu alivyojijaladia sijui mkewe hakumkagua maana ile suti ilikuwa imemvaa kama ya kuazima na tai la kijani.

Nionacho kwa Lisu ni utovu wa nidhamu sijui mtu huwezi kuongea bila kumvunjia mtu heshima yake.
 
Back
Top Bottom