Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Na inatia simanzi!!Inasikitisha sana
Ungeacha aseme mpaka mwisho..Ukiwa na moyo safi Mungu hukupa baraka ya kuyaona yajayo hata kama kwa wakati husika utakuwa huelewi unachooneshwa ama kuelewa kitakachotokea!
Hapa Lissu alitabiri kwa usahihi hiki kinachotokea sasa kwenye siasa za Tanzania.
Msikilize.
π
View attachment 3364276
Mungu amewapa CHADEMA baraka ya kuyajua yasiyojulikana kwa CCM.
Kuna cha kujifunza kwenye hili andiko lako!Ungeacha aseme mpaka mwisho..
Utabiri wowote huelezea jambo litakavyokuwa na nini cha kufanya kulizuia au ku - minimize negative outcomes zake..
Mimi nakumbuka, yes, alitoa tahdhari hii Lakini alisema, there's no way tutaikwepa njia hiyo kwa kuwa ni lazima kupita humo ili kufika kwenye ushindi wetu...!
And I agree with him...
Wana wa Israel, ili kuifikia nchi yao ya ahadi ya maziwa na asali na vinono vyote, ilikuwa lazima kupita ktk njia ngumu sana yenye nyoka na simba na chui. Kote huko walipigana, wengine walikufa na kuumia, lakini hatimaye walishinda kila adui aliyefanyika kuwa kikwazo ktk njia yao na mwisho wa siku wakafika...
Yesu Kristo njia aliyopitia hadi kutukomboa na kuukomboa ulimwengu ilikuwa ngumu sana yenye mateso, kusimangwa na kubagazwa kwa kila namna. Lakini Bwana wa Bwana alishinda and here we are today enjoying his sacrifice...
These are few examples to mention. Lakini wapo wengi ktk historia wanaoweza kutufundisha njia za ukombozi. Nelson Mandela, Martin Luther Jr (mpigania haki za weusi USA), Mahatima Gandhi, mitume na manabii kama vile Mtume Muhammad SAW, Nabii Eliya, Nabii Mussa, Nabii Yeremia, Yona nk
A failed prophecyUkiwa na moyo safi Mungu hukupa baraka ya kuyaona yajayo hata kama kwa wakati husika utakuwa huelewi unachooneshwa ama kuelewa kitakachotokea!
Hapa Lissu alitabiri kwa usahihi hiki kinachotokea sasa kwenye siasa za Tanzania.
Msikilize.
π
View attachment 3364276
Mungu amewapa CHADEMA baraka ya kuyajua yasiyojulikana kwa CCM.
Kiingereza wengine hatuelewi. Hapo ndiyo umeandika kuwa Jecha aliufuta uchaguzi wa Zanzibar kiharamu?A failed prophecy
He though he will be free to
Implement chaos
Ukiwa na moyo safi Mungu hukupa baraka ya kuyaona yajayo hata kama kwa wakati husika utakuwa huelewi unachooneshwa ama kuelewa kitakachotokea!
Hapa Lissu alitabiri kwa usahihi hiki kinachotokea sasa kwenye siasa za Tanzania.
Msikilize.
π
View attachment 3364276
Mungu amewapa CHADEMA baraka ya kuyajua yasiyojulikana kwa CCM.
Iko bomba sana
NI KWELI KABISA,Ukiwa na moyo safi Mungu hukupa baraka ya kuyaona yajayo hata kama kwa wakati husika utakuwa huelewi unachooneshwa ama kuelewa kitakachotokea!
Hapa Lissu alitabiri kwa usahihi hiki kinachotokea sasa kwenye siasa za Tanzania.
Msikilize.
π
View attachment 3364276
Mungu amewapa CHADEMA baraka ya kuyajua yasiyojulikana kwa CCM.
acha upuuzi we chawa mpevuMtaita kila jina
But ni
Domokaya
We jamaa bhana! HATA SIKUPANGA KUCHEKAKiingereza wengine hatuelewi. Hapo ndiyo umeandika kuwa Jecha aliufuta uchaguzi wa Zanzibar kiharamu?
Alipatia Sana!Asee