SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
- Thread starter
- #21
2003 = Simba inamvua ubingwa Zamalek, timu yenye makombe mengi zaidi Afrika karne ya 20, hata hadi wakati huo.Al Ahly waliwahi shiriki kombe la CAF huku wakiwa nafasi ya tatu na wakabeba Kombe hao Al Ahly washawahi kuwa washindi wa pili kombe la Klabu Bingwa mabingwa wakiwa Wydady ila wao ndio walipata nafasi ya kushiriki Club Bingwa ya Dunia...
Hao Al Ahly ligi ya Misri wamecheza mechi chache kuliko Timu yeyote wakiwa na mechi 7 wakati Timu zingine zina mechi 15 na 16 swala la upangaji matokea kwa mfumo huu haukwepeki hawana Ligi bora kwa sasa ndio maana hata Timu yao ya Taifa ni ya kawaida sana...
2024 = Simba inamvua ubingwa Al Ahly, timu yenye makombe mengi zaidi Afrika karne ya 21, na muda wote.
Wote tuseme In sha Allah!