Jinsi tuzo ya CAF ya timu bora ya karne waliyopewa Al Ahly ilivyozua mgogoro mkubwa

Jinsi tuzo ya CAF ya timu bora ya karne waliyopewa Al Ahly ilivyozua mgogoro mkubwa

Sijakuelewa.
Hebu andika katika mfumo nilioandika mimi. Yaaani unaandika nchi iliyoandaa klabu bingwa dunia halafu unaandika washiriki kutoka Africa
Mkuu hoja ni Ah Ahly aliwahi shiriki hilo kombe wakati sio Bingwa wa Afrika sasa wewe unae gogu cheki hiyo maana hapa ntatumia muda mrefu na usinielewe...
 
Kila punga sasa hivi ni mchambuzi,asee mpira umevamiwa.
 
Mkuu hoja ni Ah Ahly aliwahi shiriki hilo kombe wakati sio Bingwa wa Afrika sasa wewe unae gogu cheki hiyo maana hapa ntatumia muda mrefu na usinielewe...
Aliwahi kushiriki kea mujibu wa kanuni za mashindano, sio kupendelewa. Maelezo yako ni kanakwamba Al Ahly ilipendelewa wakati kanuni ni kuwa bara likiandaa club bingwa dunia bingwa na makamu bingwa wanashiriki automatic.

Mwaka Ahly wanashiriki bila kuwa mabingwa, walikuwa makamu bingwa na club bingwa dunia yaliandaliwa Africa, Morroco.

Yaliyofanyika Saudia Afrika alienda Ahly pekee akiwa bingwa. Asia zikawa timu mbili.

Hoja yako wewe ni Ahly kupendelewa kumbe ni kanuni
 
Back
Top Bottom