Jinsi tuzo ya CAF ya timu bora ya karne waliyopewa Al Ahly ilivyozua mgogoro mkubwa

2003 = Simba inamvua ubingwa Zamalek, timu yenye makombe mengi zaidi Afrika karne ya 20, hata hadi wakati huo.

2024 = Simba inamvua ubingwa Al Ahly, timu yenye makombe mengi zaidi Afrika karne ya 21, na muda wote.

Wote tuseme In sha Allah!
 
Ingependeza walipowavua Ubingwa wangebeba wao sio wanakuja kutolewa kizembe huko mbele...Al Ahly walishangaa Simba kutolewa na Kaizer Chief maana walisema hawategemei upinzani wowote kutoka kwa Kaizer walitegemea Simba ndio angepita kumbe wao target yao ni robo fainal tu..
 
Mpira una matokeo ya kikatili
 
Mpira una matokeo ya kikatili
Kwa wanaojua na waliojiandaa ila kama hujui mpira matokeo yanayotoka ni sawa ni kama Simba kufungwa na Al Ahly au Yanga kufungwa na Mamelodi hakuna ukatili wa matokeo hapo ukatili ni hizo Timu zetu kuwafunga hao Wasizwa ..
 
Sasa TFF watahusikaje kwenye kuhesabu points za international competition kama vile CAFCC na CAFCL wakati hyo ni CAF mandatory.

TFF wa deal na Domestic competition kama vile community shield,FA na League.

Mambo ya International competition wawaachie vyama vya mpira husika.

Leo Hii CAF hawawezi kutoka front kuja kutoa takwimu au habari za FiFA World cup champions.
 
Kuyahesabu mashindano ya nje itasaidia kuzipa chachu timu zifanye vizuri kimataifa na pia kuipa thamani tuzo. Inawezekana kabisa CAF hawakuhesabu mashindano ya nje kwa sababu walitaka kumnufaisha Al Ahly kama ambavyo Zamalek walidai. Hauwezi kupewa timu bora ya muongo kwa kushinda Mapinduzi Cup na FA mfululizo halafu hata CAFCL haujawahi kukanyaga.
 
Club bingwa dunia ilifanyika Morroco. KWA hiyo Africa inakuwa na wawalilishi wawili. Bingwa na makamu bingwa.
 
Club bingwa dunia ilifanyika Morroco. KWA hiyo Africa inakuwa na wawalilishi wawili. Bingwa na makamu bingwa.
Utakua umechanganya mkuu ilifanyika Saud Arabia na hii ya 2025 itafanyika Nchi za waarabu huko huko itakua na Timu 32 kutoka kwenye mabara yote...
 
TFF anahusika vp na mambo ya CAF mbona unatumia nguvu nyingi kuonekana huna akili
 
Wewe kweli dish [emoji341]
 
Utakua umechanganya mkuu ilifanyika Saud Arabia na hii ya 2025 itafanyika Nchi za waarabu huko huko itakua na Timu 32 kutoka kwenye mabara yote...
1) Yaliyofanyika UAE . Kutoka Africa alienda Al Ahly pekee,sababu ni alikuwa bingwa Africa

2)Yakafuata Yaliyofanyika Morroco. Kutoka Africa walienda wawili Wydad bingwa wa CAF na Ahly kama makamu bingwa. Bars likiandaa linakuwa na nafasi mbili.

3) Yakafuata Yaliyofanyika Saudia . Africa alienda Al Ahly pekee kwa vile ndiye bingwa na Africa ina nafasi moja.

Hayo namba tatu ndiyo ya mwisho kufanyika.

Ukagugo ujiridhishe vizuri
 
Kwa wanaojua na waliojiandaa ila kama hujui mpira matokeo yanayotoka ni sawa ni kama Simba kufungwa na Al Ahly au Yanga kufungwa na Mamelodi hakuna ukatili wa matokeo hapo ukatili ni hizo Timu zetu kuwafunga hao Wasizwa ..
Unapenda kutumia kauli ya "haujui mpira" kirahisi rahisi sana. Simba kumfunga Al Ahly haitaishtua dunia, huo ndiyo ukweli.
 
Unapenda kutumia kauli ya "haujui mpira" kirahisi rahisi sana. Simba kumfunga Al Ahly haitaishtua dunia, huo ndiyo ukweli.
Una mahaba yamepitiliza sema baadae utakuja kuelewa wengi wamepitia hiyo miguu...
 
Bingwa alikua Wydady akaenda Ah Ahly maana bingwa anachukuliwa wa msimu uliopita sio msimu huo huo kabla ya kufuta na kuja huu mfumo wa Timu 32 kutoka mabara 6...
 
Una mahaba yamepitiliza sema baadae utakuja kuelewa wengi wamepitia hiyo miguu...
Kwani wewe haujawahi kushuhudia Simba ikimfunga Al Ahly hadi uje kushangaa? Nisije kuwa naongea na mtu ambaye bado hajazaliwa.
 
Bingwa alikua Wydady akaenda Ah Ahly maana bingwa anachukuliwa wa msimu uliopita sio msimu huo huo kabla ya kufuta na kuja huu mfumo wa Timu 32 kutoka mabara 6...
Sijakuelewa.
Hebu andika katika mfumo nilioandika mimi. Yaaani unaandika nchi iliyoandaa klabu bingwa dunia halafu unaandika washiriki kutoka Africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…