The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 8,855
- 28,752
Kuacha kununua kitu Tanzania nikihofia nitapigwa famba (akilini nisiwaze hata kutafuta kama bidhaa husika wana authorised dealer Tanzania) na kuagiza Nairobi
Siku moja nipo mizungukoni mjini naona duka spesho la ile bidhaa kuingia kuulizia bidhaa ile ile nagundua nilinunua bei karibu mara mbili ningenunua hapa nyumbani,na ilishapitwa na wakati nikagundua pia ningepajua pale mapema ningepata na ushauri ninunue ipi na kwa sababu gani,ilikuwa music system nilipogundua hili kosa mpaka leo nikiisikiliza huwa naona kama inanipigia makelele tu.