Wewe ni mkweli,umejua tatizo,na jinsi ya kulitatua una 95% za kua among 3% ya watanzania waliofanikiwa kivyovyote vile
Wataalaamu wanasema:-
Kabla hujafanya jambo Fanya simple research,weka Tathmini,yaani hata ukienda kununua shati la elfu 1
Ipi bidhaa Bora?,wapi kuna bei nafuu?,bei halisi ipoje na ya dukani ipoje?
Imagine unanunua kiwanja milioni 4,wakati kiwanja hiko hiko ungenunua milioni 2,kabla ya kununua bidhaa yeyote hakikisha siku uliyonunua sio siku ulioiona kwa mara ya kwanza.
Yaaani assume na ndio uhalisia,usiwe na haraka kabisa yaaani,
Kitu pekee cha kua na haraka ni konachoweza kutoka uhai wako ukiwa mgonjwa kwa wakati huo
Imagine ni wangapi wameoa,kuoelewa,na watu kwa kukurupuka,........unatoa mahali 5M plus kwa Malaya,wakati kuna Bikira amejituliza anahitaji tu laki 4😄😃😃
Kiuhalisia kukurupuka ni chanzo cha 80% ya stress duniani
Una one Kali unaenda kusoma bachelor of education eti kosa mkopo,wenzako wanaifanya research wanaenda kupiga macourse yale ya SUA,after 3-5 yrs wapo kwenye mashamba makubwa huko Colorado,California,Israel etc,.....sio rahisi lakini,mwalimu wa chemistry chance za kutoboa kwenye hii nchi hata uingize at least 2M.per month ni almost 0.5%,
Kukurupuka ni sumu Kali sana,Bora usifanye jambo,kuliko ulifanye kwa kukurupuka