Jinsi ukurupukaji ulivyonitia hasara mara nyingi maishani

Kuacha kununua kitu Tanzania nikihofia nitapigwa famba (akilini nisiwaze hata kutafuta kama bidhaa husika wana authorised dealer Tanzania) na kuagiza Nairobi

Siku moja nipo mizungukoni mjini naona duka spesho la ile bidhaa kuingia kuulizia bidhaa ile ile nagundua nilinunua bei karibu mara mbili ningenunua hapa nyumbani,na ilishapitwa na wakati nikagundua pia ningepajua pale mapema ningepata na ushauri ninunue ipi na kwa sababu gani,ilikuwa music system nilipogundua hili kosa mpaka leo nikiisikiliza huwa naona kama inanipigia makelele tu.
 
Looooh umetisha kaka. Hongera sana
 
Ninakuunga mkono mkuu. Huwa ninasema kuna vitu bora uvitafute kipindi ukiwa haukihitaji. Kwa mfano passport uwe nayo hata kama hujui utasafiri lini.. leseni ya udereva pia hata kama huna gari.
Kabisa mkuu... Kuna vitu basic tu ni muhimu kuwa navyo
 
hii tabia nnayo nikiwa na pesa 'nyingi' kibindoni
japo huwa nafanya 'risechi' nzito ya 'mda mfupi' mno
 
Mimi nikitaka kununua budhaa ya muda mrefu mfano TV, Music, Friji nakua nafanya utafiti miezi mitatu nyuma nikiwa napaga bajeti najua Samsung TV inch 50 ni million kwahiyo najipanga na pesa ikitimia naenda Dukani kulipia bidhaa ya ndoto yangu, nakua na Machagua Matatu kwa mfano nimekosa TV ya Samsung basi nachukua chaguo la pili ambalo lipo kwe hesabu zangu na nikikuta machaguo yangu hayapo sinunui bidhaa ambayo sikua na hesabu nayo
 
Ukipata pesa tulia kwanza.

Kuwa na Focus
Hata kama unaplan nyingi
Deal na moja wapo kwanza.
 
Andaa plan Mapema, ukipata pesa ni utekelezaji tuu, ukifanya vitu namna hiyo kuna sehemu utapatia kuna sehemu utakosea,
Andaa mipango ukipata pesa unatekeleza tuu
 
BAADA ya MKE kwenda kwao nikatafuta mbususu za haraka aiseh nimetupa malaki kulaza lodge na hotel alafu kimoja TU Chali.


Tupeane mawazo....😄🤣
 
Nimeupenda sana mstar wa mwisho

Amani ni tunu yetu tuilinde kwa wivu mkubwa sana
 
Umenikumbusha niliwah poteza mtaj kwasababu ya kukurupuka,nakumbuka nilipanga karibia frem 4 kila nikikaa nikatulia naona haya mazingira hayana mzunguko natafuta kwingine,kuna baadhi ya sehem nilikaa wiki nikahama

Nikanunua baadhi ya vitu ili kufanya uwekezaj,baada ya muda pesa ikakata kabisa
 
Duh!we ulikuwa na wenge,na ukuwa mtu wa subra
 
Dah bila kutuliza akili ni rahisi mnoo kupata hasara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…