Jinsi unavyoishi ndiyo matokeo ya afya yako

Jinsi unavyoishi ndiyo matokeo ya afya yako

Hana tumbo au sio...kitu flat screen
alichompendea huyo mbaba ni kuwa flat ila mbele amedhani atakuwa na mkuyenge
acha sisi wenye vitambi na tunaoshinda JF bila kukimbia tujifiche ndani hakuna Covid wala AIDS
acha wakimbie tu majiani
 
Muda ni msemakweli hata ajitunze vipi ataugua tu magonjwa ya uzee.

Au Modds mnasemaje?
 
Namuonea Sana huruma mke wake... Mijitu ya namna hiyo Ina nyege Sana na wingi was nguvu za kiume.
Happy nyumbani atagegeda Dada wa kazi, wadogo wa mke, mtaani atawagegeda mpaka watafute chupi zenye barakoa ili kujilinda na lidude la ndugu engineer
😂😂😂 jamani
 
Unachosema Ni kweli
Sisi matokeo ya tunachokula.

Japo wengine ni maumbo tu ya asili according to their genetics

Ila wengi wetu miili mibaya ni matokeo ya junk food tunazokula hasa ukiwa masikini huna option ya food varieties.

Unapakia mapumba na minyuzi Kama yote...matokeo ni mitumbo na mashavu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni discipline ndiyo tunakosa, ukijua unakula wanga mwingi ugawe katika milo mitatu kwa kiasi kidogo.
 
Back
Top Bottom