technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Mwangalie Polepole wa utawala wa Kikwete na wa utawala huu, Mwangalie Nape alivyokuwa na ushawishi wakati akiwa Katibu Mwenezi na sasa, Mwangalie Mwigulu yule na huyu anayemshukuru Magufuli baada ya kupata ajali, Mwangalie January Makamba wa kipindi cha Kikwete na huyu anayeenda akiburuza miguu Ikulu kuomba msamaha.
Sasa hivi mwangalie Waziri Jafo kitakachomkuta ili mzee kujisafisha baada ya kuona amekosea. Kiufupi jamaa hapendi vijana wawake ndani ya chama akishakutumia anakutupa kama takataka. Vijana inabidi tubadilike tusimamie ukweli hata kama tutatemwa tuwe na credit kwa watanzania.