technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Hivi Jafo ndiye aliyeng'oa zile kamera pale Dodoma Area D??Mwangalie Polepole wa utawala wa Kikwete na wa utawala huu, Mwangalie Nape alivyokuwa na ushawishi wakati akiwa katibu mwenezi na sasa, Mwangalie Mwigulu yule na uyu anayemshukuru Magufuli baada ya kupata ajari, Mwangalie January Makamba wa kipindi cha Kikwete na uyu anayeenda akiburuza miguu Ikulu Kuomba msamaha.
Sasaivi mwangakie waziri Jafo kitakachomkuta ili mzee kujisafisha baada ya kuona amekosea. kiufupi jamaa hapendi vijana wawake ndani ya chama akishakutumia anakutupa kama takataka vijana inabidi tubadilike tusimamie ukweli hata kama tutatemwa tuwe na credit kwa watanzania..
Mbona wakati wa Iyena hiyena ajira zilikuwa 1.2M kwa mwaka lakini wakati wa hapa kazi tu ajira hata laki tano kwa miaka 4 hakuna.Sidhani kama JPM kawabania vijana.
JPM kabadili CONTENT na context. Siasa ya propaganda na hiena hiena hazitoi majibu ya elimu bora, kupatikana kwa fursa za kazi kupitia uwekezaji wa Viwanda.
Kama hata leo Nape akija na siasa ambapo viwanda vitajengwa kusini kusindika korosho na kukamua mafuta kutoka kwenye ufuta, mguso wake kijamii unakuwa positive na unapimika tofauti ya kelele za "kuwashitaki mawaziri mizigo"
Content na context ya uwekezaji ndiyo habari ya mjini. Very unfortunate waheshimiwa wengi hawana IQ ya kuitafairi iwe workable kwenye local settings.
Mathalani Nape, badala ya kuomba Halmashauri ya Mtama angeomba say 5bil kujenga plant ya ku-process korosho ili tokea Mtama Kiwanda kinauza final product ya korosho. Ajira ambazo zingepatika za kiwabdani, logistics ya cargo kwenda bandari kupeleka mzigo; kila mmoja angemwona ni HERO.
Au hata with the same 5bil angejenga plant ya process sulphur kwa ajili ya wakulima. Msimu unaofuatia wakulima wangenunua sulphur at Lower cost achilia mbali ajira kwa vijana na kusisimua uchumi wa Mtama.
Ila bado wana nafasi kama watashibisha brain zao na right workable material kukidhi agenda ya wakati. Wanaweza kung'ara tena
Mbona una hasira sana mkuu punguza stress, hasira hazitakuondolea huo umaskini ulio nao.Nape na Jafo wanakusaidia nini? wanapambana kujenga na kuboresha familia zao wewe unapiga kelele hapa. Au ni waume zako nini mkuu?
Huu ni muda wa maendeleo
Tulishaongea sana
Wanasiasa walikuwa wanatafuta umaarufu binafsi
Viongozi wanatakiwa washindane kuwatumikia Wananchi kama ilivyo sasa