Jinsi viongozi wanavyotupiana katiba mpya kama kaa la moto

Jinsi viongozi wanavyotupiana katiba mpya kama kaa la moto

Cannabis

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
11,557
Reaction score
33,535
Katiba mpya ni kama kaa la moto, haishikiki kila Rais aliyepita anamrushia mwenzake, nani atakubali kuleta katiba mpya ?
20210701_105453.jpg
 
Mwendazake alibutuwa kwa “tik-tak” kabisa, na mama Samia ameipiga mwiko wa ukweli.😃🤦🏾‍♂️
 
Yaani hapo ni kuchagua tu kusuka au kunyoa! Ccm ife kifo cha mende kupitia katiba mpya, au iendelee kuitawala nchi kimabavu kupitia katiba ya mwaka 1977!
 
Wa tikitaka hakutaka kumung'unya maneno, alituweka wazi tokea dei wani
 
Kila mtu anaogopa lawama. Kwasababu atayekubali kuunda katiba mpya ndiye atakuwa amefanya mauwaji na mazishi ya CCM.
Tunakumbushana kuwa katiba itaandikwa na wanasheria wabobevu wa sisiem unadhan wataandika kinyume na maslah yao???
 
Back
Top Bottom