Jinsi Wachina wanavyopata viungo vya binadamu kwa ajili ya upandikizaji

Jinsi Wachina wanavyopata viungo vya binadamu kwa ajili ya upandikizaji

Huko mochwari kuna siri nyingi sana nzito.
Ukibahatika kufika mochwari mida ya usiku, kuna magari yanapaki usiku usiku wahusika wanaingia ndani na kutoka na vifurushi.

Viuongo vya binadamu imekuwa biashara inayolipa sana miaka hii.
Hawachukuwi viungo vya binadamu aliyeko mochwari. Kwa sababu vinakuwa vimekwisha haribika
 
siwezi pata kazi mochwarii.....inaonekana kunapesa sana, ila kama kweli kuna pesa nawajua watumishi wawili wa mochwari ya arusha na kilimanjaro mbona maisha yao niyachini sana kama kweli kunabiashara hiyo, nazani wangekuwa matajiri.tuache story za vijiweni
Mortuary ni kwa ajili ya ushirikina tu
 
Kwa nn. Wawapige risasi wakati. Wanahitaji viungo vyao kwa nn wasivuchukue tuu bila kuwapiga risasi?
 
wanafanya poa kuliko mtu anyongwe aoze na viungo bora vikatumike tena hawa watu wako makini sana
Binadamu yoyote anastahili heshima na uamuzi wa nini kifanyike juu ya mwili wake hasa katika tiba
 
siwezi pata kazi mochwarii.....inaonekana kunapesa sana, ila kama kweli kuna pesa nawajua watumishi wawili wa mochwari ya arusha na kilimanjaro mbona maisha yao niyachini sana kama kweli kunabiashara hiyo, nazani wangekuwa matajiri.tuache story za vijiweni
Hawajataka kutajirika tu au hawataki kujihusisha na hizo ishu halafu ujue mochwari ni shift mkuu kuna wa mchana na wa usiku sasa inategemea hao unao wajua wewe ni wa shift ipi? Halafu hata ikiwa hua wana badilishana shift labda kila baada ya wiki moja, wateja wanajua mtu wao wanae fanya nae biashara ni yupi. Mwisho kabisaaa sio lazima wajionyeshe kwamba wanazo pesa huenda wanawekeza sehemu zingine huko
 
Km mtu hana pumbu aje nimuuzie zangu sina shida nazo tena
Zinakusumbua kwa kuzinin'giniza na kujigonga huku na kule, vp zinazalisha mbegu bora? isije ikawa zinatoa majimaji tu mbegu zilishafyekelewa mbali ndo maana huna kazi nazo.
 
I have a very dreadful story about human body parts harvesting... Huko nje ni kawaida sana na ni biashara haramu inayolipa sana... Sasa hivi soko limegeukia Africa hasa kwa vijana wa kiume wenye nguvu na mabinti walimbwende wasiotumia madawa kung'arisha ngozi zao
Hebu tupe hiyo story chap ndugu yetu mpendwa
 
Hao motuary attendant wanaonekana maskini ila ni sawa na mganga anaeishi kwenye kajumba ka ajabu ila mjini ana majumba ya kupangisha .
 
Back
Top Bottom