Tusubiri tuone itakavyokuwa mkuu. Sasa hivi nchi imekuwa kama kahaba anayelazimisha kudinywa kwa tamaa ya pesa. Wafanyabiashara akina Rostam na gabacholi wenzake sasa hivi wanaidinya nchi wanavyojisikia. Baada ya GSM kuona nchi inadinyika kwa urahsi, nao wameanza kuchovya. Nchi ngumu sana hii.Wameanza na kesi ya gas kule kwenye mahakama ya kimataifa, inside job pesa inarushwa kwa mgao soon..
Kabisa mkuu.Nchi imekuwa kama channgudoa....kila mwenye hela zake anachovya!
Utashangaa wanakuja hapa wachumiatumbo akina MamaSamia2025 , ChoiceVariable ,Lucas mwashamba na wapuuzzi wengine kushabikia utakatishaji huu wa fedha unaofanywa na CCM hadharani bila kificho.Halafu anakuja mtu mmoja asiekuwa hata na elimu, na kusema kuwa eti wafanyabiashara wanaochangia wanatoa kwa woga wa Tra na sio mapenzi ya chama.
Laiti angejua hao ni untouchables
Inaumiza sana unapoona watu wanakosa maji masafi huku vichanga wakifa kwa kukosa uangalizi.Utashangaa wanakuja hapa wachumiatumbo akina MamaSamia2025 , ChoiceVariable ,Lucas mwashamba na wapuuzzi wengine kushabikia utakatishaji huu wa fedha unaofanywa na CCM hadharani bila kificho.
Tatizo JeiWii nao majizi vinginevyo huyu Kigagula wa Kizimkazi angelazimishwa kupiga mbizi hadi kwao kubabekiWakuu naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Ukweli ni kwamba There is no free kunch in Africa. Kwa kuzingatia hili, hebu tujiulize hawa wafanyabiashara walioichangia CCM mabilioni ya pesa kwa mbwembwe na na hadharani watarejeshaje fedha zao walizochanga? Tukumbuke kwamba hawa wachangiaji ni wafanyabiashara na fedha walizochangua wamezinyofoa kwenye mitaji ya biashara, tena kwa ghafla kwa kushtukizwa kwani uchangiaji huu haukuwa kwenye malengo yao ya kibiashara. Na pia tukumbuke kule CCM hakuna biashara yoyote itakayofanikisha marejesho ya haya mabilioni ya fedha za mtaji wa biashara ambazo wamezimwaga ndani ya CCM.
Sujafuatilia sana jambo hili lakini katika hali isiyokuwa ya kawaida, wakati nikipita social media, nimeshangazwa kusikia kampuni moja kubwa ya biashara hapa nchini ikitangaza kuchangia Tsh bilioni 10, ambazo ni sawa na 10% ya fedha zilizokadiriwa kuchangwa.
Kabla tujiulize wafanyabiashara hawa watarejeshaje hizi fedha zao, tunapaswa kujiuliza kuhusu matumizi ya michango hii. Hivi karibuni tumeshuhudia CHAUMMA wakinunua maelfu ya magari na kuyasambaza nchii nzima wakati kinafahamika ni chama masikini na hakijawahi kuitisha mchango wowote. Isije ikawa CCM wanajenga kwa jirani huku kwao kukizidi kuporomolewa na akina Polepole na genge lake. Je, CHAUMMA wamepata wapi ghafla fedha za kununua magari haya? Baada ya michango hii huenda watanunua magari mengi zaidi au watapata fedha za kutosha kukodi chopa za kuzunguka kwenye kampeni nchi nzima. Tusubiri tuone itakavyokuwa.
Tukirejea kwenye jinsi fedha za wafanybiashara zitakavyorudi nimeangalia katika nyanja tofauti. Uwanja wa kwanza ni kupitia ukwepaji kodi wa makusudi. Hawa wachangiaji kuanzia sasa watakuwa wakwepaji wakubwa wa kodi kwani wanajua fika kuwa wameishajipenyeza kwenye mfumo wa chama na serikali kama ambavyo Rostam Aziz amefanya. Sasa hivi Rostam hagusiki kabisa. Anaogopeka zaidi ya Rais. Rostam na Kikwete sasa hivi utadhani ndio wanaongoza nchi kwa remote.
Namna ya pili ya kurejesha hizo fedha ni maelekezo kutoka juu. Kwa kuwa sasa hawa wachangiaji wameingia sebuleni mwa CCM watakuwa wanafanya biashara bila kulipa kodi kwa maelekezo kutoka juu.
Namna nyingine ni kwa kuogopwa na maofisa wa TRA na kuachiwa wapite blila kulipa kodi kwa nidhamu ya uwoga. Wakaguzi wa TRA watakapogundua kuwa mizigo inayopita bandarini ni ya mchangiaji wa CCM, hawatamgusa....watamuachia apite bila kulipa kodi.
Mwisho, njia nyingine maarufu itakayotumiwa na mafisadi hawa walioichangia CCM ni kwa kupandisha bei za bidhaa au kupunguza kipimo kwani sasa wanajua fika kuwa wanaogopwa na TRA na wakala wa vipimo na uzito. Hii nchi ukitaka kuila vizuri kaa karibu na CCM.
Je, wewe mdau wa JF, ukitafakari vizuri na kwaa utulivu unadhani ni jinsi gani hawa wafanyabiashara watarejesha mabilioni yao waliyochomoa kutoka kwenye mitaji ya biashara na kuichangia CCM, ukizingatia kuwa CCM hawafanyi biashara itakayozalisha fedha ili wazirejeshe.
Ndio maana wamevunja kanuni za chama na kutaka Samia aendelee hata baada ya kukaa madarakani miaka kumi ili kucreate a precedent ya kumpitisha nyadundo Ridhwani kugombea kwa mtindo huo huo!Wangekuwa big fish bila kutafuna rasilimali za taifa hakuna shida. Tatizo hawa big fish wameshiba fedha za umma.
Wakuu naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Ukweli ni kwamba There is no free kunch in Africa. Kwa kuzingatia hili, hebu tujiulize hawa wafanyabiashara walioichangia CCM mabilioni ya pesa kwa mbwembwe na na hadharani watarejeshaje fedha zao walizochanga? Tukumbuke kwamba hawa wachangiaji ni wafanyabiashara na fedha walizochangua wamezinyofoa kwenye mitaji ya biashara, tena kwa ghafla kwa kushtukizwa kwani uchangiaji huu haukuwa kwenye malengo yao ya kibiashara. Na pia tukumbuke kule CCM hakuna biashara yoyote itakayofanikisha marejesho ya haya mabilioni ya fedha za mtaji wa biashara ambazo wamezimwaga ndani ya CCM.