ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Tanzania sio Nchi maskini Wala watu wakeInaumiza sana unapoona watu wanakosa maji masafi huku vichanga wakifa kwa kukosa uangalizi.
Unadhani wanashindwa kuifanya nchi iwe na maendeleo ?
Leo sijui tuko wa ngapi kwa umasikini duniani.
Na wanaona ni ufahari kutembea na mabasi zaidi ya 40
Huwa nashindwa kuelewa wanawezaje kupata usingizi?
Hapa ndipo mafisadi walioichangia CCM watakavyopiga pesaTanzania sio Nchi maskini Wala watu wake View attachment 3440150View attachment 3440151
Sawa sio masikini wala watu sio masikini.Tanzania sio Nchi maskini Wala watu wake View attachment 3440150View attachment 3440151
Wahuni wamepenya ndani ya CCM kirahisi sana.
Usilipe Kodi Ili itokee nini?Sawa sio masikini wala watu sio masikini.
Naomba uniambie kwanini kodi zinakusanywa kwa kila bidhaa ?
Unaweza ukaniorodheshea bidhaa ambazo hatulupii kodi kama nchi zilizoendelea?
Bado ni ndogo sana kwa exports maana imported goods ni nyingi zaidi ya tunazopeleka nje ya nchi
Nakushangaa kuwa hujui kuna nchi bidhaa nyingi sana hutoi kodi na kama hujui ulizaUsilipe Kodi Ili itokee nini?
Wala usidhani kwamba hili swala nilakushtuza hili swala hufanyika kila kipindi cha uchaguzi na wafanya biashara wenyewe ndiyo wanashinikiza kuuchangia nakumbuka Kipindi cha Magufuli,Magufuli alisema Alikataa milioni 100 za mengi alizotaka kumppa zimsaidie mafuta kipindi chaa kampeni.kwahiyo siyo jambbo GenniWakuu naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Ukweli ni kwamba There is no free kunch in Africa. Kwa kuzingatia hili, hebu tujiulize hawa wafanyabiashara walioichangia CCM mabilioni ya pesa kwa mbwembwe na na hadharani watarejeshaje fedha zao walizochanga? Tukumbuke kwamba hawa wachangiaji ni wafanyabiashara na fedha walizochangua wamezinyofoa kwenye mitaji ya biashara, tena kwa ghafla kwa kushtukizwa kwani uchangiaji huu haukuwa kwenye malengo yao ya kibiashara. Na pia tukumbuke kule CCM hakuna biashara yoyote itakayofanikisha marejesho ya haya mabilioni ya fedha za mtaji wa biashara ambazo wamezimwaga ndani ya CCM.
Sujafuatilia sana jambo hili lakini katika hali isiyokuwa ya kawaida, wakati nikipita social media, nimeshangazwa kusikia kampuni moja kubwa ya biashara hapa nchini ikitangaza kuchangia Tsh bilioni 10, ambazo ni sawa na 10% ya fedha zilizokadiriwa kuchangwa.
Kabla tujiulize wafanyabiashara hawa watarejeshaje hizi fedha zao, tunapaswa kujiuliza kuhusu matumizi ya michango hii. Hivi karibuni tumeshuhudia CHAUMMA wakinunua maelfu ya magari na kuyasambaza nchii nzima wakati kinafahamika ni chama masikini na hakijawahi kuitisha mchango wowote. Isije ikawa CCM wanajenga kwa jirani huku kwao kukizidi kuporomolewa na akina Polepole na genge lake. Je, CHAUMMA wamepata wapi ghafla fedha za kununua magari haya? Baada ya michango hii huenda watanunua magari mengi zaidi au watapata fedha za kutosha kukodi chopa za kuzunguka kwenye kampeni nchi nzima. Tusubiri tuone itakavyokuwa.
Tukirejea kwenye jinsi fedha za wafanybiashara zitakavyorudi nimeangalia katika nyanja tofauti. Uwanja wa kwanza ni kupitia ukwepaji kodi wa makusudi. Hawa wachangiaji kuanzia sasa watakuwa wakwepaji wakubwa wa kodi kwani wanajua fika kuwa wameishajipenyeza kwenye mfumo wa chama na serikali kama ambavyo Rostam Aziz amefanya. Sasa hivi Rostam hagusiki kabisa. Anaogopeka zaidi ya Rais. Rostam na Kikwete sasa hivi utadhani ndio wanaongoza nchi kwa remote.
Namna ya pili ya kurejesha hizo fedha ni maelekezo kutoka juu. Kwa kuwa sasa hawa wachangiaji wameingia sebuleni mwa CCM watakuwa wanafanya biashara bila kulipa kodi kwa maelekezo kutoka juu.
Namna nyingine ni kwa kuogopwa na maofisa wa TRA na kuachiwa wapite blila kulipa kodi kwa nidhamu ya uwoga. Wakaguzi wa TRA watakapogundua kuwa mizigo inayopita bandarini ni ya mchangiaji wa CCM, hawatamgusa....watamuachia apite bila kulipa kodi.
Mwisho, njia nyingine maarufu itakayotumiwa na mafisadi hawa walioichangia CCM ni kwa kupandisha bei za bidhaa au kupunguza kipimo kwani sasa wanajua fika kuwa wanaogopwa na TRA na wakala wa vipimo na uzito. Hii nchi ukitaka kuila vizuri kaa karibu na CCM.
Je, wewe mdau wa JF, ukitafakari vizuri na kwaa utulivu unadhani ni jinsi gani hawa wafanyabiashara watarejesha mabilioni yao waliyochomoa kutoka kwenye mitaji ya biashara na kuichangia CCM, ukizingatia kuwa CCM hawafanyi biashara itakayozalisha fedha ili wazirejeshe.
Wapi huko? Hata Tanzania bidhaa za misosi asilimia kubwa Hazina VATNakushangaa kuwa hujui kuna nchi bidhaa nyingi sana hutoi kodi na kama hujui uliza
Hapa nilipo kodi kama mkate, maziwa, mboga zote na hata Matunda ni zero vat.
Mchele na hata nafaka au hata nguo za watoto ni free from VAT
Sasa siku mkifika huko ndio useme ni nchi tajiri
Ni kuelimishana tu
Uchaguzii wa Pakistan mwaka 2002 Kuna mpakistani mmoja alikua kwenye kampuni moja kubwa pale Lahore Pakistan akaandika chekiii ndeeeefuuuu mapesa kuwapa chama DOLA.Wakuu naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Ukweli ni kwamba There is no free kunch in Africa. Kwa kuzingatia hili, hebu tujiulize hawa wafanyabiashara walioichangia CCM mabilioni ya pesa kwa mbwembwe na na hadharani watarejeshaje fedha zao walizochanga? Tukumbuke kwamba hawa wachangiaji ni wafanyabiashara na fedha walizochangua wamezinyofoa kwenye mitaji ya biashara, tena kwa ghafla kwa kushtukizwa kwani uchangiaji huu haukuwa kwenye malengo yao ya kibiashara. Na pia tukumbuke kule CCM hakuna biashara yoyote itakayofanikisha marejesho ya haya mabilioni ya fedha za mtaji wa biashara ambazo wamezimwaga ndani ya CCM.
Sujafuatilia sana jambo hili lakini katika hali isiyokuwa ya kawaida, wakati nikipita social media, nimeshangazwa kusikia kampuni moja kubwa ya biashara hapa nchini ikitangaza kuchangia Tsh bilioni 10, ambazo ni sawa na 10% ya fedha zilizokadiriwa kuchangwa.
Kabla tujiulize wafanyabiashara hawa watarejeshaje hizi fedha zao, tunapaswa kujiuliza kuhusu matumizi ya michango hii. Hivi karibuni tumeshuhudia CHAUMMA wakinunua maelfu ya magari na kuyasambaza nchii nzima wakati kinafahamika ni chama masikini na hakijawahi kuitisha mchango wowote. Isije ikawa CCM wanajenga kwa jirani huku kwao kukizidi kuporomolewa na akina Polepole na genge lake. Je, CHAUMMA wamepata wapi ghafla fedha za kununua magari haya? Baada ya michango hii huenda watanunua magari mengi zaidi au watapata fedha za kutosha kukodi chopa za kuzunguka kwenye kampeni nchi nzima. Tusubiri tuone itakavyokuwa.
Tukirejea kwenye jinsi fedha za wafanybiashara zitakavyorudi nimeangalia katika nyanja tofauti. Uwanja wa kwanza ni kupitia ukwepaji kodi wa makusudi. Hawa wachangiaji kuanzia sasa watakuwa wakwepaji wakubwa wa kodi kwani wanajua fika kuwa wameishajipenyeza kwenye mfumo wa chama na serikali kama ambavyo Rostam Aziz amefanya. Sasa hivi Rostam hagusiki kabisa. Anaogopeka zaidi ya Rais. Rostam na Kikwete sasa hivi utadhani ndio wanaongoza nchi kwa remote.
Namna ya pili ya kurejesha hizo fedha ni maelekezo kutoka juu. Kwa kuwa sasa hawa wachangiaji wameingia sebuleni mwa CCM watakuwa wanafanya biashara bila kulipa kodi kwa maelekezo kutoka juu.
Namna nyingine ni kwa kuogopwa na maofisa wa TRA na kuachiwa wapite blila kulipa kodi kwa nidhamu ya uwoga. Wakaguzi wa TRA watakapogundua kuwa mizigo inayopita bandarini ni ya mchangiaji wa CCM, hawatamgusa....watamuachia apite bila kulipa kodi.
Mwisho, njia nyingine maarufu itakayotumiwa na mafisadi hawa walioichangia CCM ni kwa kupandisha bei za bidhaa au kupunguza kipimo kwani sasa wanajua fika kuwa wanaogopwa na TRA na wakala wa vipimo na uzito. Hii nchi ukitaka kuila vizuri kaa karibu na CCM.
Je, wewe mdau wa JF, ukitafakari vizuri na kwaa utulivu unadhani ni jinsi gani hawa wafanyabiashara watarejesha mabilioni yao waliyochomoa kutoka kwenye mitaji ya biashara na kuichangia CCM, ukizingatia kuwa CCM hawafanyi biashara itakayozalisha fedha ili wazirejeshe.
Mkuu ni UK ambapo vitu vingi sana hatulipi VATWapi huko? Hata Tanzania bidhaa za misosi asilimia kubwa Hazina VAT
Serikali ya huyu bibi imetiwa mfukoni na mafisadi wachumiatumboUchaguzii wa Pakistan mwaka 2002 Kuna mpakistani mmoja alikua kwenye kampuni moja kubwa pale Lahore Pakistan akaandika chekiii ndeeeefuuuu mapesa kuwapa chama DOLA.
Aiseeee hizi pesa ni kwa ajili ya kukiweka chama na vyombo vya DOLA mifukoni 🤔
😊😧 Hayati JPM aliwai kuwa ambia/ kuwa nanga wafanya biashara akisema ukumbini yeyote alie mpa fedha/ pesa asimame ajionyeshe kuwa alimpa pesaaa wafanyabiashara wakakaa kimyaa kabisaaa
Fedha zote zipo mikononi mwa mafisadi na zimetejeshwa kwa Chama Cha Mafisadi (CCM).Sawa sio masikini wala watu sio masikini.
Naomba uniambie kwanini kodi zinakusanywa kwa kila bidhaa ?
Unaweza ukaniorodheshea bidhaa ambazo hatulupii kodi kama nchi zilizoendelea?
Bado ni ndogo sana kwa exports maana imported goods ni nyingi zaidi ya tunazopeleka nje ya nchi
Wewe binafsi una utajiri gani? Tukikukagua hapo ulipo tutakukuta ukiwa na buku 7 ulizolipwa hapo LumumbaTanzania sio Nchi maskini Wala watu wake View attachment 3440150View attachment 3440151
Sasa Nina sababu gani ya kuchukia matajiri? Nikichukia ndio nitapata utajiri?Wewe binafsi una utajiri gani? Tukikukagua hapo ulipo tutakukuta ukiwa na buku 7 ulizolipwa hapo Lumumba
Mkuu hayo yameisha tokea kilichopo na sisi tufikirie tuna tegaje PESA SA WATU wanalalamika TU .mkuu life is not fair alwaysSasa Nina sababu gani ya kuchukia matajiri? Nikichukia ndio nitapata utajiri?
Siwezi ingiza Nguvu na hisia hasi maana zinaleta hasara kuliko faida.
Hata walalmike wagalegale hawawezi zipata Kwa utaratibu huo wa ulalamishi Hadi hapo watakapobadili mindset zao na kuwa jirani na wenye pesa.Mkuu hayo yameisha tokea kilichopo na sisi tufikirie tuna tegaje PESA SA WATU wanalalamika TU .mkuu life is not fair always
Full stop,kwishaaaa
Saaaaaafi we waache na uwanaharakati WAO badala wategesheHata walalmike wagalegale hawawezi zipata Kwa utaratibu huo wa ulalamishi Hadi hapo watakapobadili mindset zao na kuwa jirani na wenye pesa.
Kwanza pesa haiendi Kwa maskini inakimbia.
Mwisho hakuna mwanasiasa atawapa pesa sana sana wanajitajirisha wao na familia zao.