Jinsi wafanyabiashara watakavyorejesha fedha walizoichangia CCM

Kuumia NAFSI KILA wakisikia neno tajiri masikioni mwao MPAKA najisemea TU Hawa WATU ukiwaiga unaangamia Hawa washa zoea SHIDA



Full stop, kwishaaaa
Yaani yalivyo mapunguani yamefikia mahala Hadi wanataka wawapangie watu nani wa ku associates nae na nani sio.

Ooh Mwendazake alimfunga Singasinga Kwa nini SSH amemkaribusha.

Who is Mwendazake wa kupangia watu maisha?
 
Kilichofanyika sio uchangiaji bali ni rushwa na hongo zenye kusudi maalumu...

Kwanza ieleweke wanachama na wapenzi wa chama cha siasa kukichangia chama kwa ajili ya uendeshaji wa shughuli zake ikiwemo kugharamia kampeni ni jambo la kawaida na ndivyo ilivyo na ndio maana halisi ya chama cha siasa.....

Kwamba, chama cha siasa siku zote ni mali ya wanachama na wanachama ndio wanaopaswa kukiendesha kwa njia ya kukichangia kupitia mifumo iliyopo kisheria iliyo wazi mfano kulupia ada za uanachama, michango ya hiari nk...

Lakini lililo muhimu kuzingatiwa siku zote ktk ukusanyaji wa michango hii ni sheria na uwazi wa vyanzo vya fedha za wanaochangia ili kuepusha chama kuwa chanzo cha kupitishia pesa haramu (money laundering)....

Aidha ktk nchi zingine zinazotambua hatari ya chama cha siasa kuomba kuchangiwa fedha toka kwa watu, sheria imeweka ukomo wa kiwango ambacho mtu mmoja anaweza kukichangia. Kwa hapa kwetu Tanzania, sijui sheria inasemaje kuhusu ukomo wa mchango kwa mtu mmoja...

Aidha ktk nchi zingine, kampuni au mashirika makubwa ya kibiashara hayaruhusiwi kuchangia chama cha siasa kabisa na lengo ni kuepuka conflict of interests hususani ktk masuala ya kodi....

Mfano, kampuni ya GSM yenyewe peke yake kukipa chama siasa kilicho madarakani zaidi ya Tshs bilioni 11 inaleta maswali makubwa kuluko majibu. Hapa kuna conflict of interest kubwa. Hii kampuni itajenga jeuri na itataka malipo kwa njia moja au nyingine. Wanaweza kukwepa kulipa kodi na serikali isifanye lolote...

Kwa hiyo nakubaliana na wewe kabisa ndugu tpaul kuwa, there is no free lunch not just in Africa but it's in the whole world...

CCM wamelikoroga...
 
Fedha zote zipo mikononi mwa mafisadi na zimetejeshwa kwa Chama Cha Mafisadi (CCM).
Inaumiza sana
Tunahitaji mabadiliko ya kuweza kuwa na mfumo mzuri zaidi ya huu.
Yule PM aliesababisha tukatupa mpaka Radio ya Panasonic chooni, wa hivyo hapana

Huyu alidhani njia hiyo ni nzuri kwa kupata marndeleo.

Wa pili nae aliewashweka ndani matajiri na ili watoke lazima walipe, nalo lilikuwa wazo baya na lillileta chuki baina yetu.

Ukisema kuanzia Rais mpaka mawaziri wawe Wajeda nalo ni baya zaidi, maana watatulaza saa moja

Kila kitu inataka nidhamu lakini sio kama walizotumia baadhi ya mawaziri kwa kufunga Geti eti aliechelewa arudi nyumbani

Hiyo ilikuwa sio kazi ya Waziri

Naona hatujui governance maana yake la sivyo tungefika mahali

Kila anaekuja anataka aongoze anavyotaka.
 
Reactions: Ame
Hilo nimeliwaza sana nyingine ni kampuni changa wafanya kazi wao wanalia njaa lkn huku kachangia million 200 hii nchi vituko haviishi aloo
Wafanyakazi wa Umma je ambao hawajaonhezwaa mishahara Kwa miaka 10? Zaidi ya kudanganywa na bi increment vidogo? Yooote hii kwasababu Kuna watu wanakwepa kodi ama wanapewa mikataba ambayo ni zaidi ya dhuluma Kwa umma. Nchi ngumu sana hii, but there is hope!
 
Huhitaji nguvu sana Bali a genuine leader ambaye atafuata utawala Bora na yeye mwenyewe akizingatia Hilo. Siyo awe kama Pharaoh akitunga Sheria kwaajili ya commoners huku yeye na kundi lake wakila Kwa urefu wa kamaba zao. Hatuna genuine leaders na wengi Wana moral decay

Wajuu akisha onyesha uadilifu na kusimamia mifumo Kila kitu kina fall into lines
 
Sasa hivi ikulu kumekuwa kama kijiwe cha wahuni au danguro. Kila mwenye pesa anaingia tu
 
Wizi umejichimbia mizizi na kuikata inataka maamuzi ya hali ya juu.
Hata ikiwa ku sacrifice kwa mambo kadhaa.

Kama leader akitokea sina maana hawa maana hakuna muadilifu kwa sasa.

Nchi nyingi zimeendelea kwa maamuzi magumu waliofikia
Wengine walinyonga kabisa
 
CCM ni ukoo wa panya......babu mwizi, baba mwizi, mtoto mwizi, mjukuu mwizi, kitukuu mwizi, kilembwe mwizi na kining'ina mwizi.
 
MiCCM ndivyo ilivyo.....inahalalisha wizi mchana kweupe!
 
CCM ni ukoo wa panya......babu mwizi, baba mwizi, mtoto mwizi, mjukuu mwizi, kitukuu mwizi, kilembwe mwizi na kining'ina mwizi.
Siyo CCM ila wanaolitumia CCM kama kichaka chakupiga
 
WANAWEZAJE KUPATA USINGIZI? Umenifikirisha sanaa...
 
WANAWEZAJE KUPATA USINGIZI? Umenifikirisha sanaa...
Walahi inauma sana.
Hii dunia tunapita na tutaenda na sanda tu, halafu kuna mtu anakuambia hivyo vijisenti ?

Mungu awape moyo wa ubinadamu
Sina la kuongeza
 
WANAWEZAJE KUPATA USINGIZI? Umenifikirisha sanaa...
Hawawezi. Kila wafanyacho mioyo inawalipuka kama wehu na hatimaye wataweweseka kama watu wenye mapepo na kukata roho.
 
State capture in the making
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…