Jinsi wafanyabiashara watakavyorejesha fedha walizoichangia CCM

Mkuu una mawazo ya kipimbi sana. Ni wapi uliona CHADEMA anachangiwa pesa na mafisadi? Wapi CHADEMA alichangiwa pesa na Yanga au Simba kwa kutumia fedha za wanachama ambao hawana vyama? Jiulize kwanza hayo maswali kabla ya kunijibu kwa mihemko.
 
Hao asilimia kubwa ya magabacholi hichi ni kizazi cha 2+ kuila seri..li kichwa magu ndo alikuwa mbabe wao japokuwa mwishoni alitii
 
Yes. Gabacholi na dalali wao, CCM, wamegeuza nchi hii kuwa shamba la bibi.
 
Mkuu una mawazo ya kipimbi sana. Ni wapi uliona CHADEMA anachangiwa pesa na mafisadi? Wapi CHADEMA alichangiwa pesa na Yanga au Simba kwa kutumia fedha za wanachama ambao hawana vyama? Jiulize kwanza hayo maswali kabla ya kunijibu kwa mihemko.
Huwa mnafanya uchunguzi kwanza kujua tabia za wachangiaji wenu? Huwa mnachangiwa na watakatifu tu?
 
CHADEMA inachangiwa na walalahoi wazalendo wakati CCM inachangiwa na mafisadi na gabacholi. Mpaka hapo bado hujaona tofauti?
 
CHADEMA mnapokosea ni pale mnapowaona wanaoisapoti CCM hawafai. Mnatakiwa mje na sera za kuwabadili watu mitazamo yao. Hizi kauli zenu za ubaguzi zitawapotezea muda.
 
Ukweli lazima usememwe, ijapokuwa mchungu.
 
Duuh
 
CHADEMA mnapokosea ni pale mnapowaona wanaoisapoti CCM hawafai. Mnatakiwa mje na sera za kuwabadili watu mitazamo yao. Hizi kauli zenu za ubaguzi zitawapotezea muda.
Wanaccm wanafanya uhalifu wqanaojua kwa makusudi....sio swala la mtazamo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…