Jinsi wakazi wa Mbezi Kibamba wanavyotembea kifua mbele

Kumbe hiyo ndio akili kubwa! Yaani kutokuijua Tecno ndio akili ndogo!
Ungekua na akili kubwa ungekua unahariri maandishi yako kabla hujayapost humu,mtu anaweza kudharaulika kwa uandishi mbovu.
Una hasira na Mimi unakaa kwa shemeji yko umesubili ajira za ualimu jina lko halipo utaolewa mwaka huu
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu safari zako wewe ni mbele huko Amelican.
Huko Amelican ndio wapi huko na mimi niende?
 
Mara ya kwanza kusikia Malia Obama nikajua wamekosea kuandika kumbe liko sahihi.

Akili ilitaka iwe Maria na si Malia....
Mwenyewe nilipoona American nkajua wamekosea kuandika akili ilitaka iwe Amelican sio American
 
Siwez kukaa na wachaga wachafu sana sehemu wanayolala na kuku humohumo

Kumbe tatizo lako ni kuishi na Wachagga?

Kumbuka jina "Kimara" limetokana na ukoo wa "Kimaro".

Watu wa Mbagala mna ubaguzi sana.

By the way, hulazimishwi kuishi karibu na Wachagga.

Ila wasiwasi wangu mkubwa ni wewe kupata sehemu ya kuishi isiyo na Mchagga.

Kama unapoishi hamna Mchagga nakusihi kama kweli unapenda maendeleo, basi panga kuhama maana hapafai.
 
mkuu unaishi mbagala ipi? Wakazi wa huko ni mabingwa wa kupigana vikumbo kwenye milango ya daladala. Ustaarab ni sifuri kabisa pande za huko
 
Sidhani kama walioleta nyuzi za stendi ya Mbezi Luis na kuhusisha maeneo mengine walilenga kukejeli hayo maeneo, naamini walikuwa wanahusisha "distance" rather than what you perceived! PERIOD.
 
Trump ameondoka na America Yake Sasa Biden atabaki na AMELICA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…