Maisha yanaenda kasi sana na maisha yanabadilika, lakini isiwe chanzo cha kudharau wengine, nimeona baadhi ya nyuzi humu wakazi wa Mbezi Luisi na Kibamba kutusema vibaya tunaoishi Mbagala.
Siku zote sikuona nyuzi za namna hio, eti kisa stendi mpya ya Mbezi magari yaendayo mkoani, niwaambie Jambo moja kila mtu ana haki ya kukaa sehemu aipendayo ni bora nikae Mbagala kuliko kuchangamana na akina Shayo, na kina Mushi mliojaa Mbezi, Kimara, Temboni na Kibamba, makazi mnapoishi mmejaza nguruwe na ng'ombe mbuzi Bata mzinga ni uchafu kwenda mbele.
Sisi hatuna shida na hio stendi wengine safari zetu ni mbele huko utasikia leo niko London mara Amelica sio kwenda mikoani ,nyie wenye shida za kwenda mikoani ndo mkae huko.