Jinsi wakazi wa Mbezi Kibamba wanavyotembea kifua mbele

Jinsi wakazi wa Mbezi Kibamba wanavyotembea kifua mbele

Kumbe hiyo ndio akili kubwa! Yaani kutokuijua Tecno ndio akili ndogo!
Ungekua na akili kubwa ungekua unahariri maandishi yako kabla hujayapost humu,mtu anaweza kudharaulika kwa uandishi mbovu.
Una hasira na Mimi unakaa kwa shemeji yko umesubili ajira za ualimu jina lko halipo utaolewa mwaka huu
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu safari zako wewe ni mbele huko Amelican.
Huko Amelican ndio wapi huko na mimi niende?
Maisha yanaenda kasi sana na maisha yanabadilika, lakini isiwe chanzo cha kudharau wengine, nimeona baadhi ya nyuzi humu wakazi wa Mbezi Luisi na Kibamba kutusema vibaya tunaoishi Mbagala.

Siku zote sikuona nyuzi za namna hio, eti kisa stendi mpya ya Mbezi magari yaendayo mkoani, niwaambie Jambo moja kila mtu ana haki ya kukaa sehemu aipendayo ni Bora nikae Mbagala kuliko kuchangamana na akina Shayo, na kina Mushi mlioja Mbezi Kimala Temboni Kibamba ,makazi mnapoishi mmejaza nguruwe na ng'ombe mbuzi Bata mzinga ni uchafu kwenda mbele.

Sisi hatuna shida na hio stendi wengine safari zetu ni mbele huko utasikia leo niko London mala Amelican sio kwenda mikoani ,nyie wenye shida za kwenda mikoani ndo mkae huko.
 
Mara ya kwanza kusikia Malia Obama nikajua wamekosea kuandika kumbe liko sahihi.

Akili ilitaka iwe Maria na si Malia....
Mwenyewe nilipoona American nkajua wamekosea kuandika akili ilitaka iwe Amelican sio American
 
Siwez kukaa na wachaga wachafu sana sehemu wanayolala na kuku humohumo

Kumbe tatizo lako ni kuishi na Wachagga?

Kumbuka jina "Kimara" limetokana na ukoo wa "Kimaro".

Watu wa Mbagala mna ubaguzi sana.

By the way, hulazimishwi kuishi karibu na Wachagga.

Ila wasiwasi wangu mkubwa ni wewe kupata sehemu ya kuishi isiyo na Mchagga.

Kama unapoishi hamna Mchagga nakusihi kama kweli unapenda maendeleo, basi panga kuhama maana hapafai.
 
Maisha yanaenda kasi sana na maisha yanabadilika, lakini isiwe chanzo cha kudharau wengine, nimeona baadhi ya nyuzi humu wakazi wa Mbezi Luisi na Kibamba kutusema vibaya tunaoishi Mbagala.

Siku zote sikuona nyuzi za namna hio, eti kisa stendi mpya ya Mbezi magari yaendayo mkoani, niwaambie Jambo moja kila mtu ana haki ya kukaa sehemu aipendayo ni bora nikae Mbagala kuliko kuchangamana na akina Shayo, na kina Mushi mliojaa Mbezi, Kimara, Temboni na Kibamba, makazi mnapoishi mmejaza nguruwe na ng'ombe mbuzi Bata mzinga ni uchafu kwenda mbele.

Sisi hatuna shida na hio stendi wengine safari zetu ni mbele huko utasikia leo niko London mara Amelica sio kwenda mikoani ,nyie wenye shida za kwenda mikoani ndo mkae huko.
mkuu unaishi mbagala ipi? Wakazi wa huko ni mabingwa wa kupigana vikumbo kwenye milango ya daladala. Ustaarab ni sifuri kabisa pande za huko
 
Maisha yanaenda kasi sana na maisha yanabadilika, lakini isiwe chanzo cha kudharau wengine, nimeona baadhi ya nyuzi humu wakazi wa Mbezi Luisi na Kibamba kutusema vibaya tunaoishi Mbagala.

Siku zote sikuona nyuzi za namna hio, eti kisa stendi mpya ya Mbezi magari yaendayo mkoani, niwaambie Jambo moja kila mtu ana haki ya kukaa sehemu aipendayo ni bora nikae Mbagala kuliko kuchangamana na akina Shayo, na kina Mushi mliojaa Mbezi, Kimara, Temboni na Kibamba, makazi mnapoishi mmejaza nguruwe na ng'ombe mbuzi Bata mzinga ni uchafu kwenda mbele.

Sisi hatuna shida na hio stendi wengine safari zetu ni mbele huko utasikia leo niko London mara Amelica sio kwenda mikoani ,nyie wenye shida za kwenda mikoani ndo mkae huko.
Sidhani kama walioleta nyuzi za stendi ya Mbezi Luis na kuhusisha maeneo mengine walilenga kukejeli hayo maeneo, naamini walikuwa wanahusisha "distance" rather than what you perceived! PERIOD.
 
Trump ameondoka na America Yake Sasa Biden atabaki na AMELICA
 
Back
Top Bottom