Jinsi Wakenya walivyoiuza nchi yao kwa mabeberu

Jinsi Wakenya walivyoiuza nchi yao kwa mabeberu

CARIFONIA

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2013
Posts
616
Reaction score
1,453
Inasikitisha sana kuona taifa kama Kenya limekua mstari wa mbele kuwatukuza mabeberu, kiasi kwamba wameamua kuikabidhi nchi yao kwa mabeberu yanayoshirikiana na wakenya wachache kuila na kuitafuna nchi, huku majorty ya Wakenya wakihishi kama wapo jehanamu ndani ya nchi yao wenyewe.

Sasa sahau kidogo zile slums za Nairobi, hii nchi unaweza kusema asilimia kubwa ni slums, hizi hapa chini ni slums kutoka Nakuru na Mombasa.

PSX_20200625_114655.jpg
PSX_20200625_115042.jpg
PSX_20200625_115951.jpg
PSX_20200625_120256.jpg
PSX_20200625_115654.jpg
PSX_20200625_115431.jpg
PSX_20200625_115610.jpg
PSX_20200625_115344.jpg
PSX_20200625_115148.jpg
PSX_20200625_115809.jpg
PSX_20200625_114900.jpg
PSX_20200625_115259.jpg
PSX_20200625_114817.jpg
PSX_20200625_120126.jpg
PSX_20200625_120044.jpg
 

Attachments

  • PSX_20200625_114900.jpg
    PSX_20200625_114900.jpg
    95.7 KB · Views: 2
We nawe, hizo ni sehemu za kuwa attract actors wa Marekani waje wa fanye movies hapo. Nyie mbona mna Manzese na uwanja wa fisi.
 
Duh hatari.kumbe mtaani mambo ndo yapo hivi?
Yaani ni balaa, sema wakijaga huku JF wanajitoaga akili, wanasahau umasikini wao kwa kutaka ligi na wabongo, halafu wanavyojisifia unaweza ukajiuliza hivi hii kenya inayosifiwa ndio tunayoijua au kuna kenya nyingine?
 
We nawe, hizo ni sehemu za kuwa attract actors wa marekani waje wa fanye movies hapo. Nyie mbona mna Manzese na Uwanja wa Fisi.
😂😂 manzese na uwanja fisi ni uswazi ila kwenu kumzidi, inaoneka nchi nzima full slums, kwa hiyo umaskini wenu ni kwa ajili ya vivutio wazungu waje wafanyie movie, ndio mahana nikasema mabeberu yameinunua kunyaland
 
Sisi tuna GDP Kubwa alafu bajeti yetu ni TZ, UG, RW combined! Ushuzi mtupu.
 
Nawaonea huduma sana haswa ubinafsishaji walioufanya na Wachina kwenye reli na bandali yaani ni aibu tupu.
 
Sisi tuna GDP Kubwa,alafu bajeti yetu ni TZ,UG,RW combined! Ushuzi mtupu.
😂😂 Na hapo ndipo mzungu alipowashika kwenye kende, kuwapumbuza na GDD wakati manaishi kwenye nyumba kama vibanda vya kufugia mbwa huku hamna uhakika wa mlo.

Hata kama mtakua na GDP ndefu kupita mlima kilimanjaro, na bajeti iliyojaa ela ya msaada, ukweli utabaki palepale wakenya ni masikini wa kutupwa.
 
Aisee, huwezi kuamini hadi ujionee.
Wapo kwenye ubepari na soko ulia toka Uhuru eti ndiyo wameambulia maisha duni ya slum sasa sijui miaka ya 70 to 90 walikuwa duni kiasi gani maisha ya mkenya ni duni kuliko maisha kwenye kambi za wakimbizi ,sisi tumeingia kwenye soko ulia miaka ya 90 ila leo tumewazidi kimaisha ,sioni hata cha maana walicho Fanya
 
Bandari na reli hazijabinafsishwa. Wacha kuota mchana.
Wachana na hawa abunuasi, mtoa mada hajaeleza vile tumeiuzia nchi mabeberu. Hajatoa taarifa kuhusu idadi ya Wenye kukaa makazi duni ukilinganisha na idadi nzima ya Wakenya. Watu wengine niwakupuuzwa tuu!!
 
Wachana na hawa abunuasi, mtoa mada hajaeleza vile tumeiuzia nchi mabeberu. Hajatoa taarifa kuhusu idadi ya Wenye kukaa makazi duni ukilinganisha na idadi nzima ya wakenya. Watu wengine niwakupuuzwa tuu!!..
😂😂 hizo ni za Nakuru na mombasa ukitaka na za Nairobi tunazo pia, halafu karibia asilimia 60 ya wakenya wanaishi kwenye slum.
Aslimia 40 iliyobaki ndio wanaokula nchi wakisaidiana na mabeberu
 
😂😂 hizo ni za Nakuru na mombasa ukitaka na za Nairobi tunazo pia, halafu karibia asilimia 60 ya wakenya wanaishi kwenye slum.
Aslimia 40 iliyobaki ndio wanaokula nchi wakisaidiana na mabeberu
Anajua hujajibu chochote unaweweseka tuu. Nimekuukiza ujibu kwa idadi ya wanaokaa slums ukilinganisha na jumla ya idadi nzima ya Wakenya? 🤸🤸
 
Anajua hujajibu chochote unaweweseka tuu. Nimekuukiza ujibu kwa idadi ya wanaokaa slums ukilinganisha na jumla ya idadi nzima ya wakenya?.. 🤸🤸
Nikuulize kwanza wewe kwani wewe unakaa slum gani? Ukinipa jibu nitakuja na jibu la swali lako
 
Back
Top Bottom