Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hogwash!..i know you know but you pretending you don't know, but in case you don't know now you know
Hko ndio ligi yenu[emoji23][emoji23][emoji23]Inasikitisha sana kuona taifa kama Kenya limekua mstari wa mbele kuwatukuza mabeberu, kiasi kwamba wameamua kuikabidhi nchi yao kwa mabeberu yanayoshirikiana na wakenya wachache kuila na kuitafuna nchi, huku majorty ya Wakenya wakihishi kama wapo jehanamu ndani ya nchi yao wenyewe.
Sasa sahau kidogo zile slums za Nairobi, hii nchi unaweza kusema asilimia kubwa ni slums, hizi hapa chini ni slums kutoka Nakuru na Mombasa.
View attachment 1488469View attachment 1488480View attachment 1488481View attachment 1488482View attachment 1488483View attachment 1488484View attachment 1488485View attachment 1488486View attachment 1488487View attachment 1488488View attachment 1488490View attachment 1488491View attachment 1488492View attachment 1488493View attachment 1488494
kwani we upo slum gani? Kariobang, mathare au kibera😂😂Hko ndio ligi yenu[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkimaliza kujilinganisha na slums endeni na turkana...mkishamaliza nengueni kw sana tanzania kuichapa slums na turkana
Tanzania hoyeeee
Hko ndio level ya watanzani wa gikombaa, waganda na wanubii[emoji23][emoji23]kwani we upo slum gani? Kariobang, mathare au kibera[emoji23][emoji23]
😂😂 huku kwetu happy life sasa nani aje aishi kwenye slums, tunaogopa chorelaHko ndio level ya watanzani wa gikombaa, waganda na wanubii[emoji23][emoji23]
Mtanzania wa kawaida kw maisha ya chumba cha tsh 20k-50k si ataishia hko tu akija hku[emoji23][emoji23]
Unaogopa cholera na wakati hupawezi[emoji23][emoji23] kenya kuna hustling ya level ingine kabisa..[emoji23][emoji23] huku kwetu happy life sasa nani aje aishi kwenye slums, tunaogopa chorela
Happy life na mmejaza omba omba huku..shenz😂😂 huku kwetu happy life sasa nani aje aishi kwenye slums, tunaogopa chorela
Hakuna cha ajabu kenya, ndio mahana atuji huko, zaidi mimi nikijaga kenya huwa napenda kwenda kushangaa zile slums zenu huku nikijiuliza inawezekanaje binadamu anaweza kuishi kwenye mazingira kama yale,Unaogopa cholera na wakati hupawezi[emoji23][emoji23] kenya kuna hustling ya level ingine kabisa..
Ndio manake wakenya wa kawaida sana ndio wale huenda arusha ku flex lkn subutu mtanzania wa kawaida aje kenya kijinga jinga
Povuuuu!!waulizeni wasanii wenu, hawamalizi mda bila ya kuja kenyaHakuna cha ajabu kenya, ndio mahana atuji huko, zaidi mimi nikijaga kenya huwa napenda kwenda kushangaa zile slums zenu huku nikijiuliza inawezekanaje binadamu anaweza kuishi kwenye mazingira kama yale,
Hahaha!!wengine wanaekwa eti unataja kupiga hela[emoji23][emoji23]wanakuja kupiga ela hao nakuchukua mademu zenu, sababu nyie mademu wa kunyaland mnashoboka sana na wanaume wa kibongo
Huku tz wapo wakenya wezi na majambaziMbona hata huku kuna wakenya kibao ombaomba, sema sisi ni wastarabu hatupendi maonyesho kama nyinyi
Tanzania hakuna slums kuna unplanned settlement.[emoji23][emoji23] manzese na uwanja fisi ni uswazi ila kwenu kumzidi, inaoneka nchi nzima full slums, kwa hiyo umaskini wenu ni kwa ajili ya vivutio wazungu waje wafanyie movie, ndio mahana nikasema mabeberu yameinunua kunyaland
Ushafika manzese au unapasikia?We nawe, hizo ni sehemu za kuwa attract actors wa Marekani waje wa fanye movies hapo. Nyie mbona mna Manzese na uwanja wa fisi.
nilidhani sgr na bandari zingeondoa slum ety Kenya taifa imara 😣😣😣😣😣Inasikitisha sana kuona taifa kama Kenya limekua mstari wa mbele kuwatukuza mabeberu, kiasi kwamba wameamua kuikabidhi nchi yao kwa mabeberu yanayoshirikiana na wakenya wachache kuila na kuitafuna nchi, huku majorty ya Wakenya wakihishi kama wapo jehanamu ndani ya nchi yao wenyewe.
Sasa sahau kidogo zile slums za Nairobi, hii nchi unaweza kusema asilimia kubwa ni slums, hizi hapa chini ni slums kutoka Nakuru na Mombasa.
View attachment 1488469View attachment 1488480View attachment 1488481View attachment 1488482View attachment 1488483View attachment 1488484View attachment 1488485View attachment 1488486View attachment 1488487View attachment 1488488View attachment 1488490View attachment 1488491View attachment 1488492View attachment 1488493View attachment 1488494
Anajua hujajibu chochote unaweweseka tuu. Nimekuukiza ujibu kwa idadi ya wanaokaa slums ukilinganisha na jumla ya idadi nzima ya wakenya?.. [emoji1732][emoji1732]