Luther samwel
Member
- May 20, 2020
- 85
- 43
hapafanani na hapa bora kule watanzania hawajazoea kuishi mabandani Kama kuku๐๐๐๐๐Ushafika manzese au unapasikia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapafanani na hapa bora kule watanzania hawajazoea kuishi mabandani Kama kuku๐๐๐๐๐Ushafika manzese au unapasikia?
[emoji23][emoji23] huku kwetu happy life sasa nani aje aishi kwenye slums, tunaogopa chorela
Mbona hata huku kuna wakenya kibao ombaomba, sema sisi ni wastarabu hatupendi maonyesho kama nyinyi
Hii ni pumbaless a.k.a nonsense, inavyohonekana hujui chochote kuhusu DSM, dar ni mji wenye wakazi takribani milion sita, Dsm aina slums, na kwa taharifa yako tu sasa hivi jiji nzima ni kama lishaunganishwa kwa barabara za lami mpaka uswazi ndanindani with the best water supply services, so next time kama ujui kitu bora ukavungaHuyu mjinga hawezi jibu., ikija kwa data mwafaka Tz ni aibu, ame cherry pick photos akabandika to support his skewed thinking, weka aerial view ya Dar uone ama google earth., Dar developed area is kike only 10%., the rest ni sprawling unplanned village type residential, nyumba za room moja moja na two rooms ni mingi sana, hakuna proper roads kule ndani ni tiny streets ama corridors za watu kuzurura mle ndani ya mitaa., masikini ni wengi mno, hili hawawezi kubali. Dar is slum 80%., a mbkend of city and village life(city 10%, ushamba 80%) multidimensional poverty
๐๐ nilisahau pia huku kuna midume ya kunyaland toka Mombasa na lamu imeolewa Zanzibar na TangaMungekua mumeweka picha humu, nyambaff, masikini anaonekana kwa mawazo, kama hii yako wewe ni masikini, kama uko Dar unaishi kwa zile nyumba zenu za kiswahili za kishamba room moja moja., watu mia choo na bafu ni moja ya kule nje. Dar ni city ya kishamba sana kama Lagos tu.