Yaani ni balaa, sema wakijaga huku JF wanajitoaga akili, wanasahau umasikini wao kwa kutaka ligi na wabongo, halafu wanavyojisifia unaweza ukajiuliza hivi hii kenya inayosifiwa ndio tunayoijua au kuna kenya nyingine?Duh hatari.kumbe mtaani mambo ndo yapo hivi?
๐๐ manzese na uwanja fisi ni uswazi ila kwenu kumzidi, inaoneka nchi nzima full slums, kwa hiyo umaskini wenu ni kwa ajili ya vivutio wazungu waje wafanyie movie, ndio mahana nikasema mabeberu yameinunua kunyalandWe nawe, hizo ni sehemu za kuwa attract actors wa marekani waje wa fanye movies hapo. Nyie mbona mna Manzese na Uwanja wa Fisi.
๐๐ Na hapo ndipo mzungu alipowashika kwenye kende, kuwapumbuza na GDD wakati manaishi kwenye nyumba kama vibanda vya kufugia mbwa huku hamna uhakika wa mlo.Sisi tuna GDP Kubwa,alafu bajeti yetu ni TZ,UG,RW combined! Ushuzi mtupu.
Bandari na reli hazijabinafsishwa. Wacha kuota mchana.Nawaonea huduma sana haswa ubinafsishaji walioufanya na wachina kwenye reli na bandali yaani ni aibu tupu
Wapo kwenye ubepari na soko ulia toka Uhuru eti ndiyo wameambulia maisha duni ya slum sasa sijui miaka ya 70 to 90 walikuwa duni kiasi gani maisha ya mkenya ni duni kuliko maisha kwenye kambi za wakimbizi ,sisi tumeingia kwenye soko ulia miaka ya 90 ila leo tumewazidi kimaisha ,sioni hata cha maana walicho FanyaAisee, huwezi kuamini hadi ujionee.
Wachana na hawa abunuasi, mtoa mada hajaeleza vile tumeiuzia nchi mabeberu. Hajatoa taarifa kuhusu idadi ya Wenye kukaa makazi duni ukilinganisha na idadi nzima ya Wakenya. Watu wengine niwakupuuzwa tuu!!Bandari na reli hazijabinafsishwa. Wacha kuota mchana.
๐๐ hizo ni za Nakuru na mombasa ukitaka na za Nairobi tunazo pia, halafu karibia asilimia 60 ya wakenya wanaishi kwenye slum.Wachana na hawa abunuasi, mtoa mada hajaeleza vile tumeiuzia nchi mabeberu. Hajatoa taarifa kuhusu idadi ya Wenye kukaa makazi duni ukilinganisha na idadi nzima ya wakenya. Watu wengine niwakupuuzwa tuu!!..
Budget inaishia mifukoni mwa wanasiasa tu. Kenya is not yet freeSisi tuna GDP Kubwa alafu bajeti yetu ni TZ, UG, RW combined! Ushuzi mtupu.
Anajua hujajibu chochote unaweweseka tuu. Nimekuukiza ujibu kwa idadi ya wanaokaa slums ukilinganisha na jumla ya idadi nzima ya Wakenya? ๐คธ๐คธ๐๐ hizo ni za Nakuru na mombasa ukitaka na za Nairobi tunazo pia, halafu karibia asilimia 60 ya wakenya wanaishi kwenye slum.
Aslimia 40 iliyobaki ndio wanaokula nchi wakisaidiana na mabeberu
Nikuulize kwanza wewe kwani wewe unakaa slum gani? Ukinipa jibu nitakuja na jibu la swali lakoAnajua hujajibu chochote unaweweseka tuu. Nimekuukiza ujibu kwa idadi ya wanaokaa slums ukilinganisha na jumla ya idadi nzima ya wakenya?.. ๐คธ๐คธ
Nonesense, hearsay monger writing what he can't prove!nikuulize kwanza wewe kwani wewe unakaa slum gani? Ukinipa jibu nitakuja na jibu la swali lako