Jinsi Wakenya walivyoiuza nchi yao kwa mabeberu

Mumejaza slums hapa Nairobi, hawkers wa vitenge kutoka Tz na boda boda riders wanaishi kibera na mukuru, nyie waCongo na wa Burundi(refugees),
[emoji23][emoji23] huku kwetu happy life sasa nani aje aishi kwenye slums, tunaogopa chorela
 
Mungekua mumeweka picha humu, nyambaff, masikini anaonekana kwa mawazo, kama hii yako wewe ni masikini, kama uko Dar unaishi kwa zile nyumba zenu za kiswahili za kishamba room moja moja., watu mia choo na bafu ni moja ya kule nje. Dar ni city ya kishamba sana kama Lagos tu.
Mbona hata huku kuna wakenya kibao ombaomba, sema sisi ni wastarabu hatupendi maonyesho kama nyinyi
 
Hii ni pumbaless a.k.a nonsense, inavyohonekana hujui chochote kuhusu DSM, dar ni mji wenye wakazi takribani milion sita, Dsm aina slums, na kwa taharifa yako tu sasa hivi jiji nzima ni kama lishaunganishwa kwa barabara za lami mpaka uswazi ndanindani with the best water supply services, so next time kama ujui kitu bora ukavunga

Note: hapa bongoland hakuna mji wowote wenye slums, zaid slums tunazionaga kwa majirani zetu hapo kunyaland
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ nilisahau pia huku kuna midume ya kunyaland toka Mombasa na lamu imeolewa Zanzibar na Tanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…