Jinsi wakili msomi Dickson Matata alivyompeleka puta mtoto wa IGP Mahita

Wakati mabeberu wanapanga kumtumia ulikuwepo?
Bonyokwa pimbi mkubwa. Mambo yetu ya chama yanakuhusu nini??? Tumuache Mama afanye kazi! Mbowe alitumiwa na mabeberu yakimdanganya alete fujo nchi isitawalike waje wachote mali zetu. Rostm mjanja na lema kala kona.
 
Reactions: BAK
Kwa nini wanaenda na hao makomandoo kindasindasi hivyo. Ngoja siku shingo ya jaji igeuzwe hapo kizimbani ndio utanielewa kuwa natumia akili.
Nani kakuambia hao ni makomandoo? Mbona ujinga haukuishiagi? Memkwa bado ipo, kajiendeleze angalau upate division four ya 32.
 
...
Halafu mtu unajiuliza...Hivi polisi walitoa wapi huruma ya kumnunulia mtuhumiwa wa ugaidi tena Komandoo supu na Mo energy?
... halafu unajiuliza zaidi; kwa sheria ipi? Ndivyo PGO inavyoelekeza? Kwamba mkuu wa msafara ana wajibu wa kutoa fedha zake mfukoni kuwanunulia magaidi chakula na vinywaji?
 
Mbona umechukia sn huyo pimbi mwenzako kupigwa mondo Kali, tulieni mnyolewe vuz kwa chupa
 
Soma the Evidence Act s.155(b)&(c)
 
Hivi Mbowe ni mjinga kiasi gani hadi aende kuomba makomandoo jeshini? Na kweli akapewa hao makomandoo? Tangu lini Komandoo wa jeshi akawa mlinzi wa diesel sijui huko SGR? Upumbavu tu.
 
Wewe ndyo mjinga,njia rahisi ya kugundua kama mtu anatoa ushahidi wa uongo ni kumtoa kwenye topic then unamrudisha tena.Kama ushahidi wake ni wauongo lazima kuna baadhi ya maeneo atasahau!
... sikumbuki; sijui; sifahamu; arudie swali; kimya! Hizo keywords ni indicators za ushahidi wa uongo!
 
Hujui kitu!
 
Bonyokwa pimbi mkubwa. Mambo yetu ya chama yanakuhusu nini??? Tumuache Mama afanye kazi! Mbowe alitumiwa na mabeberu yakimdanganya alete fujo nchi isitawalike waje wachote mali zetu. Rostm mjanja na lema kala kona.
Pole umeziana nondo lakini?Umefuatilia mashahidi lakini?Usimtukane mwenzako kisa tu imekuchoma Moderator
 
Wewe ni Lumumba FC hata Kama una PhD ukisha kuwa huko huwezi kuelewa .Nakushauri tafuta Hela acha hela ya kupewa madhara yake Ni pamoja na hili lakuweka akili pembeni .
 
Usituaibishe wanasheria !Huna Elimu yoyote ya sheria.Kauulize Wana CCM wenzeko wa Lumumba !Hilo swali unajua linaitwaje kitaalam ?Hilo swali unajua Lengo lake ni lip?

Kwa taarifa yako cross examination techniques ziko hivyo .
 
Mambo ya ajabu kweli wakili wa utetezi anasema makomandoo ni watu hatari lakini mahakamani hawataki polisi wengi na ullnzi uimarishwe. Siku hao makomando wakichafukwa na nyoyo hapo mahakamani tutasimuliana ya Hamza tena.
Yatulize wewee
 
Reactions: BAK
Haki itashinda
 
Reactions: BAK
Hivi Mbowe ni mjinga kiasi gani hadi aende kuomba makomandoo jeshini? Na kweli akapewa hao makomandoo? Tangu lini Komandoo wa jeshi akawa mlinzi wa diesel sijui huko SGR? Upumbavu tu.

Nilisikia hadithi za babu wakiwa kwenye mission maalumu hawa jamaa unaweza kukuta ni kibarua wa kubeba zege. Yawezekana hapo kwenye mradi huo wa kinkakati wa sgr naye alikuwa ni mlinzi wa kinkakati. Na huo wizi wa diesel kama ni kweli inawezekana alishamaliza kazi ikawa ndio njia ya kuvunja/kufunga nkata. Na mmoja wao tunambiwa alikuwa mlinzi wa Mbowe.
 
Najaribu kuwaza hii kesi ingekuwa inaendeshwa mubashara!tukaona Hawa vilaza wa polisi ccm,wanavyoenyeshwa na mawakili,haki ya nani,IGP Siro,angekuwa anajialishia kila wakati
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…