Jinsi wakimataifa wanavyowahujumu wa matopeni

ndomyana

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
5,630
Reaction score
2,169
Hawa wakimataifa baada kukosa pesa mfadhili wao namba moja kuwaacha
Upande wa pili kule matopeni kukawa pesa nyingi ambazo zipo mpaka sasa.

Sasa wakimataifa wakawa wanatafta wachezaji wazuri wamatopeni wakitajwa wachezaji hao walikua wanawachukua tumeona kagera nyoni boko dilunga na wengi walitakiwa pale jangwani ila wakaenda msimbazi kibabe.

Sasa kuona hivo wakimataifa wamekuja na staili mpya sasa ni kutaja wachezaji wengi wa kawaida ambapo wamatopeni huwakimbilia na kuwasajili fasta. Afu wao wanafata wachezaji wazuri kimya kimya na kuwanyakua

Nyie wamatopeni situkeni hawa wakimataifa wanawaingizachaka mna mapesa mengi sana ya kusajili wachezaji wa maana watakao wafikisha levo anazotaka boss wenu
Acheni kung'ang'aniana wachezaji wa mafungu na wa kimataifa hamtafika popote.

Maendeleo ya wamatopeni ndio maendeleo ya wa kimataifa acheni kusajili kwa kuwakomoa wa kimataifa mtafeli sana. Ni hayo tu
 
Ni Yanga ambao sasa wanahujumiwa na Simba, wanadanganywa Simba inamhitaji Shishimbi na kwamba eti amepewa mkataba wa awali na Simba, wakati ni feki halafu Shishimbi anaenda kuwaonyesha Yanga ili wapande dau, nasikia Shishimbi sasa anataka zaidi milioni 100 Yanga ili aongeze mkataba, na kocha Luc Eymael anadai lazima Shishimbi aongezewe mkataba bado yupo kwenye mipango yake
 
Wenye kuelewa wameelewa unaetaka kubishana kama ilivyokawaida yenu mnabisha. Sajilini wachezaji wa maana achaneni na kuwakomoa wakimataifa. Lengo lenu ni kuwa tp mazembe. Eti tshishimbi anawatisha wakimataifa wakati dereboss ashapost. Nyie mnahujumiwa stukeni
 
Dilunga mlimchukua lakini mkamwacha Tena baada ya kusikia Simba wanamtaka hao wachezaji Wana maisha baada ya. Mpira lazima waangalie nn kimewekwa mezani sio kuwafurahisha watu wasiochangia chochote kwenye maisha yao
 
Fuatilia rekodi za msimu huu kati ya mikia na Yanga kwenye michuano ya caf halafu utapata jibu wakimataifa ni nani,halafu mfano mdogo tu Yanga ilimtaka luis mkamuwahi kwa pesa kibao,Yanga wakatulia wakashusha kiumbe cha kuitwa morrison,nani hapo aliekurupuka kwenye hizo sajili 2,maana hapo ulipo kichefu chefu kimekujaa kwa mimba aliyokutia morrison tarehe 8 march!hapo mlipo mnasikilizia Yanga imtake nani ili mumuwahi,msimu huu mmechukua beno,ajib na gadiel lkn bado mmebeba mimba yetu
 
Wewe ni shabiki maandazi kutoka utopoloni.
 
Luis kacheza mechi ngapi na ana goli ngapi na assist ngapi?
Morrison kacheza mechi ngapi goli na assist ni ngapi?
Afu ujue nani zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dilunga mlimchukua lakini mkamwacha Tena baada ya kusikia Simba wanamtaka hao wachezaji Wana maisha baada ya. Mpira lazima waangalie nn kimewekwa mezani sio kuwafurahisha watu wasiochangia chochote kwenye maisha yao
Umelewa mada vizuri mkuu
 
Mkuu tupo pamoja hujaelewa hoja vizuri mimi ni yanga wa kimataifa naishauri kua inaingizwa chaka na simba. Hapo tu kwa luis ni mfano tosha na hai. Tupo pamoja tuishauri mikia iache kuangalizia kwa yanga
 
Wewe ni shabiki maandazi kutoka utopoloni.
Amekuchana kua mnasajili migalasa saivi tushawajulia tunataja wachezaji mwanzo 20 mnasajili kumi afu sisi tunasajili wachezaji halisi mwishoni kama tulivofanya kwa morison na luis
 
Amekuchana kua mnasajili migalasa saivi tushawajulia tunataja wachezaji mwanzo 20 mnasajili kumi afu sisi tunasajili wachezaji halisi mwishoni kama tulivofanya kwa morison na luis
Hivi nani anaesajili migalasa kati ya utopolo na simba? Mmesajili wachezaji zaidi ya 20 ndani ya msimu mmoja na wengi wao ni migalasa na mmeshaiacha na mingine bado mnayo. Duniani kote mchezaji kuhusishwa kusajiliwa na klabu x kisha kusajiliwa na klabu y ni kitu cha kawaida.
 
Mtapata taabu sana mwaka huu
 
Mtapata taabu sana mwaka huu
 
Amekuchana kua mnasajili migalasa saivi tushawajulia tunataja wachezaji mwanzo 20 mnasajili kumi afu sisi tunasajili wachezaji halisi mwishoni kama tulivofanya kwa morison na luis
Magalasa wakati wanaongoza ligi? Magalasa ndo wa 18 kwa klabu bora Africa, magalasa ndo wanaongoza ufungaji bora, clean sheet na kila kitu, mkuu mbona km unavuta bangi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale wabrazil ushawasahau,jan mlimsajili kichuya,sasa hivi mnataka mumtoe mkopo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…